Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Ule uvumi kuwa silaha za wamagharibi ni 'superweapons' (bora zaidi) unayeyuka kama theluji/barafu mchana wa jua kali. Waziri wa Ulinzi wa Urusi General Shoigu amezungumza ktk kongamano la usalama la kimataifa leo Jumanne.
Waziri huyo amesema silaha zote zilizomiminwa Ukraine na mataifa yote ya magharibi ikiwemo Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Canada na hata Australia toka kuanza kwa operesheni ya kijeshi ya Urusi hazijaweza kufua dafu nchini Ukraine.
Waziri Shoigu akafafanua kuwa mwanzoni ilipigiwa chapuo upelekaji wa Javelin na 'unique' drones na zikapigiwa promo kuwa ni 'superweapons', zingebadili hali ya mambo Ukraine. Hivi karibuni HIMARS na Howitzers ndio zimepigiwa promo na wamagharibi ati ndio 'superweapons'. Lakini silaha zote hizo zinafeli Ukraine.
General huyo akaongezea kuwa Urusi inazisoma vyema silaha hizo inazozikamata vitani.
======