Hearly Loyalty
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 411
- 370
Unaweza kutupatia speech ya Putin inayosema kuwa ataiteka Ukraine ndani ya masaa 72 !? Au speech inaelezea deadline ya op ya Russia inayo fanyika Ukraine!??Huyo Russia yeye kafika wapi na ngonjera ya kuiteka Ukraine kwa masaa 72 hivi hayo masaa 72 bado hayajatimia tu.