Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Vita wanayo shinda akina: Zelensky/Biden/Poland ni vita vya kwenye mitandao and MSM basi.
Silaha zote wanazo pewa kutoka magharibi haziwezi kubadiri chochote katika mwenendo mzima wa vita huko Ukraine, bado Russia ina uwezo mkubwa wa kufanikisha kutimiza malengo yake yote aliyo kusudia kuyatekeleza - Ulaya na USA wataendelea kutuletea maigizo yao yaku exaggerate uwezo wa silaha zao lakini hawasemi chochote zinapo teketezwa na makombora ya Urusi - masaa yote wanakanusha kwa nguvu zao zote pindi jeshi la Russia linaposema limefanikiwa ku-intercept rokets nyingi za HIMARS, pamoja ni kuharibu HIMARS systems/launcher sita kati ya 12 zinazo milikiwa na jeshi la Ukraine,wengine wanashindwa kutofautisha kati ya roketi zinazo rushwa na HIMARS na HIMARS system yenyewe as a Rocket launcher.
Pindi Warusi wanapo tangaza kuharibiwa/teketezwa silaha za US, basi US wana kawaida ya kukanusha vikali ukweli huo na baadhi ya Waswahili wamo katika ukanushaji - US na baadhi ya Waswahili wanataka kuleta an impression as if silaha za US ni invincible/indestructible na wanakasirika kweli kweli ukitoa maoni mbadala,wengi wao hawana habari kwamba picha nyingi na video clips zinazo letwa kwenye mitandao na jeshi la Zelensky ni za kugushi tu ie digitally manipulated nyingine ni za conflicts ya 2014/15, lakini media za magharibi na mitandao wana broadcast hivyo hivyo kimakisudi mradi wazuge Dunia kwamba Rusia inaelekea kushindwa vita, hawazungumziii chochote kuhusu maeneo yaliyo kwisha tekwa na kukaliwa na jeshi la Urusi - uongo mwingi sana sana, mpaka juzi hapa nilimuona Generali wa Ujerumani akisema kwamba madai ya Zelensky kwamba ataweza kukomboa majibo yaliyo tekwa na Urusi ikiwemo Crimea - hizo ni ndoto za mchana, lakini kuna watu wanambishia hata mtu ambaye ni professional soldier mwenye rank ya juu kwenye jeshi la magharibi/NATO.