Urusi: Uvumi wa kuwa silaha za wamagharibi (US+NATO) ni 'superweapons' unayeyuka mithili ya theluji mchana wa jua kali

Urusi: Uvumi wa kuwa silaha za wamagharibi (US+NATO) ni 'superweapons' unayeyuka mithili ya theluji mchana wa jua kali

Huyo Russia yeye kafika wapi na ngonjera ya kuiteka Ukraine kwa masaa 72 hivi hayo masaa 72 bado hayajatimia tu.
Unaweza kutupatia speech ya Putin inayosema kuwa ataiteka Ukraine ndani ya masaa 72 !? Au speech inaelezea deadline ya op ya Russia inayo fanyika Ukraine!??
 
Vita hv NATO wala Zelenkey amabae atashinda bila diplomasia Ukraine itabaki ghofu tu sehemu ya mapambano ya silah

Ukraine kamwe haiwezi kuishinda urusi, diplomasia TU itumike kuleta amni
 
Ngoja nikukumbushe sakata la kuweka nyuklia tayari lilikuaje ww kilaza wa pro NATO.
Ilikuwa hivi, Ufaransa iliiambia Urusi inapaswa kujua kuwa ulaya ina silaha za nyuklia,hapo hapo Putin akawaambia wanajeshi wake waandae silaha za nyuklia kwa lolote, NATO nzima ikaufyata.
Ngoja nikukumbushe tena wewe kilaza wa Putin,unasahau kama Macron kila siku alikua anafanya safari za kwenda Moscow kumsihi Putin asivamie Ukraine?! Kajifanya kichwa ngumu akavamia,baada ya kuvamia yeye ndo alianza kutoa vitisho mara vikosi vya nuclear vikae tayari mara sijui atakaewasaidia Ukraine atakiona cha mtema kuni,ndio Macron akamkumbusha kwamba sio Russia yenye silaha za nyuklia Peke yake hata Ulaya wanazo. Na hapo NATO wakaanza kupeleka matani ya misaada ya kijeshi kwenda Ukraine mpaka bwana mkubwa akafurushwa toka Kiev na msafara wake wa 64km ukapukutishwa wote. Leo NI mwezi wa 6 hata hiyo Donbass bado hajaiteka yote,kila siku maghala yake ya silaha yanalipuliwa kwa vikombora cheap kama HIMARS,zile S300,S400 na S500 mnazozisifia humu kila siku mbona hatuoni maajabu yake kwenye hii vita!!? Au ndo hua zinazimwa kama mnavyotufunga kamba humu?!
 
Back
Top Bottom