Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
WAUAJI hawa sio ISIS.ISIS..
ni kama yale mafunzo ya wanafunzi wanayopewa kwa kificho kule dodoma ambayo serikali i.epiga marufuku
VIDEO ZOTE ZA MAGAIDI HAWA WAKIHOJIWA, wanakiri kua kuingizwa mkenge na majasusi wa Ukraine.
Sasa Marekan na Ulaya, wameamua kuwalisha wajinga baadhi wa hapa Duniani uongo waamini kua ni ISIS .
Marekan na Ulaya, kuanzia tarehe 8 mwezi huu, walitoa waraka kuwaonya Raia wao juu ya kutotembelea maeneo yenye mikusanyiko.