Urusi: Video ya kuhojiwa ya mtuhumiwa wa ugaidi Moscow

Urusi: Video ya kuhojiwa ya mtuhumiwa wa ugaidi Moscow

Mmh... I'm proud to be Christian aisee. By the way, pasaka haijakaribia tu jamani??
Bora ungekaa kimya🤣

Unajua genocides zilifanywa na Wakirsto hapa duniani ?

Nikupe moja tu.

Watu wapatao milioni 75 walikufa katika Vita vya Pili vya dunia, kutia ndani wanajeshi wapatao milioni 20 na raia milioni 40, ambao wengi wao walikufa kwa sababu ya mauaji ya kimakusudi, mauaji makubwa, milipuko ya mabomu, magonjwa, na njaa.

Hapo hamna hata kiongozi moja alikuwa Muislam.

Vipi bado upo proud na Ukiristo wako🤣
 
Putin hawezi kutumia kadi ya udini maana anawale jamaa zake wakina kadyrov atakua anawatusi ,ila mchezo mzima umesomeka, wametumika waislam wa ISIS ambao wapo kwa ajili ya kulinda maslahi ya wamagharibi
Hao wamekamatwa na kikosi cha Kadyrov kilitupwa mpakani hapo kwa haraka wakoshirikiana na maofisa wengine wa kiusalama.

Hata hao wanajeshi waliyomkata sikio gaidi ni wa Chenchen.
 
Bora ungekaa kimya🤣

Unajua genocides zilifanywa na Wakirsto hapa duniani ?

Nikupe moja tu.

Watu wapatao milioni 75 walikufa katika Vita vya Pili vya dunia, kutia ndani wanajeshi wapatao milioni 20 na raia milioni 40, ambao wengi wao walikufa kwa sababu ya mauaji ya kimakusudi, mauaji makubwa, milipuko ya mabomu, magonjwa, na njaa.

Hapo hamna hata kiongozi moja alikuwa Muislam.

Vipi bado upo proud na Ukiristo wako🤣
We nenda kasikilize BBC au katizame Taarifa za Habari za Aljazeera na media nyingine za kimataifa usikie ndugu zako wanvyoongelewa huko kila siku.

Yani nchi zote zenye uislam duniani ndizo kila siku zinaongelewa kuwa na shida ya milipuko ya kujitoa mhanga, anzia huku Somalia, Egypt, sudan, Yemen, Saudi Arabia nakadhalika. Nyie kila siku mabomu tu. Hatujaongelea bado hao wapalestina wenyewe waliowashikilia mateka wa israeli

Vikundi vyote vya TERRORISM asilimia 99% ni vya kiislamu tena wanajiita kabisa waislam wenye Itikadi kali.

Acha kabisa bana.
 
Uzembe mkubwa sana. Wanakubali vipi kukamatwa na askari wa Russia wakiwa hai!?
Tena baada ya kupiga tukio kama hili.
Watateseka sana hao jamaa, hapo bado hawajapelekwa kwenye idara ya mahojiano, aisee!
Na ndiyo maana wenye kufuatilia matukio wanasema hao siyo Isis. Wangelikuwa wenyewe Isis wangejitoa mhanga au wangetumia mbinu ya kuwaweka raia wengine mateka ndani ya jengo kwani ndizo mbinu wanazotumia. Au wangeweka vilipulizi (bomu) lingelipuka wakati wao tayari wameshaondoka mapema.

Sasa hao mbinu waliyoitumia ipo tofauti kabisa na mbinu wanazotumia Isis. Moja kwa moja inaonyesha hao kuna mtu aliwatuma. Haitoshi wanakimbilia mpakani mwa Ukraine, inaonyesha tayari kuna uchochoro walitengenezewa upande wa Ukraine.
 
Hadi wanaingia Moscow vyombo vya usalama wako wapi? Wajiulize kwanza
Inaonesha intelligence yao haiko vizuri. Tunavyojua kwa mambo ya usalama Russia wako vizuri
Mambo haya yanatokea nchi nyingi tu kubwa kubwa zenye usalama wa hali ya juu.

Haya mambo omba yasikukute! China imesumbuliwa na haya mambo! Marekani imesumbuliwa na haya mambo! France imesumbuliwa na haya mambo n.k

Muhimu kama umeshindwa kutambua mapema basi lidhibiti mapema. Kwenye kuwadhibiti mapema wameonyesha wapo vizuri. Kwani ndani ya masaa 24 kuwakamata wote wahusika si suala dogo pia.
 
We nenda kasikilize BBC au katizame Taarifa za Habari za Aljazeera na media nyingine za kimataifa usikie ndugu zako wanvyoongelewa huko kila siku.

Yani nchi zote zenye uislam duniani ndizo kila siku zinaongelewa kuwa na shida ya milipuko ya kujitoa mhanga, anzia huku Somalia, Egypt, sudan, Yemen, Saudi Arabia nakadhalika. Nyie kila siku mabomu tu. Hatujaongelea bado hao wapalestina wenyewe waliowashikilia mateka wa israeli

Vikundi vyote vya TERRORISM asilimia 99% ni vya kiislamu tena wanajiita kabisa waislam wenye Itikadi kali.

Acha kabisa bana.
TAtizo lako ni elimu kama huwezi kuchambua mambo kama haya basi una shida kwenye kufikiri, kama hadi leo hujui dunia inaenda vipi na machafuko yanatokea vipi ujue bado hujaelimika
 
Hili tukio linanipa maswali mengi sana aisee, ISIS wamepiga tukio ambalo nikiangalia video za utekelezaji wa tukio, na hivi wanavyokamatwa kizembe naona kama mazingaombwe fulani hivi. Kuna speculations kuwa huenda Ukraine amehusika katika hili tukio, najiuliza Ukraine wanapata nini katika utekelezaji wa tukio kama hili?
Wengine wanaenda mbali kusema huenda Russia wenyewe wamepiga hili tukio ili kupata sababu ya kutumia nguvu kubwa zaidi za kijeshi kumaliza operesheni inayoendelea Ukraine, siamini kama Putin anahitaji kuua wananchi wake ili apate excuse ya kuitandika Kiev mazima.
Wengine wanasema hawa ni Mossad wamempiga tukio Putin baada ya kuonesha kuwa yuko upande wa Palestine. Mara oooh, hawa ni CIA wanataka Putin ajichanganye pale Ukraine ili USA na wapambe wake wa NATO waingie mazima, kwa faida ya nani!?
Yaani hili tukio linafanya iwe vigumu kutofautisha stori za kutunga, propaganda na ukweli.
Mpaka Jumatatu tutakuwa tumeshapata majibu. Tuwe na subira.
 
TAtizo lako ni elimu kama huwezi kuchambua mambo kama haya basi una shida kwenye kufikiri, kama hadi leo hujui dunia inaenda vipi na machafuko yanatokea vipi ujue bado hujaelimika
Uwezo wake ni wa kupokea si wa kuchanganua.
 
We nenda kasikilize BBC au katizame Taarifa za Habari za Aljazeera na media nyingine za kimataifa usikie ndugu zako wanvyoongelewa huko kila siku.

Yani nchi zote zenye uislam duniani ndizo kila siku zinaongelewa kuwa na shida ya milipuko ya kujitoa mhanga, anzia huku Somalia, Egypt, sudan, Yemen, Saudi Arabia nakadhalika. Nyie kila siku mabomu tu. Hatujaongelea bado hao wapalestina wenyewe waliowashikilia mateka wa israeli

Vikundi vyote vya TERRORISM asilimia 99% ni vya kiislamu tena wanajiita kabisa waislam wenye Itikadi kali.

Acha kabisa bana.
Unaonekana mtoto mambo mengi ufahamu muulize Baba yako unyama uliyofaywa na Kanisa au nenda kasoma historia ya dini yako au unaabudi kibubusa tu.soma hiii.

Papa Yohane Paulo wa Pili aliomba radhi nyingi. Wakati wa utawala wake mrefu akiwa Papa, aliomba msamaha kwa Wayahudi, wanawake, watu waliohukumiwa na Baraza la Kuhukumu Wazushi, Waislamu waliouawa na Wanajeshi wa Msalaba na karibu kila mtu ambaye alikuwa ameteseka mikononi mwa Kanisa Katoliki kwa miaka mingi. Hata kabla ya kuwa Papa, alikuwa mhariri maarufu na mfuasi wa mipango kama vile Waraka wa Upatanisho wa Maaskofu wa Poland kwa Maaskofu wa Ujerumani kuanzia mwaka wa 1965. Akiwa Papa, aliomba radhi hadharani kwa zaidi ya makosa 100 kati ya hayo, ikiwa ni pamoja na Wakristo waliohusika katika biashara ya utumwa ya Kiafrika (14 Agosti 1985, pia katika sehemu mbalimbali katika miaka ya 1990)
Jukumu la Kanisa katika uchomaji moto kwenye hatari na vita vya kidini vilivyofuata Matengenezo ya Kiprotestanti (Mei 1995, katika Jamhuri ya Cheki). imeshindwa kuthibitishwa]
Katika Juni 1995, "Barua kwa Wanawake", John Paul alisema,

Acha Kabisa bado sijakuleta mauaji ya kimbali yaliofanywa na Kanisa na wameomba radhi wewe shabiki manadazi tu hujui lolote.
 
kwani kuna mpya tena wakati magaidi wa islamic wahhabi kutoka tajikistan 🤣🤣
Putin kasema wazi waliowatuma magaidi kushambulia Urusi atatoa adhabu ya wazi.
 
Attachments

  • IMG_2004.jpeg
    IMG_2004.jpeg
    815.5 KB · Views: 2
🇷🇺 WHO WAS REALLY BEHIND THE TERROR ATTACK IN MOSCOW?

The US says it was ISIS, but Putin ignored this and said it was Ukraine.

Putin made it clear in a televised address to the whole nation that he considers Ukraine the probable orchestrator of the terror attack in Moscow.

"They tried to hide and moved towards Ukraine, where, according to preliminary data, a window was prepared for them on the Ukrainian side to cross the state border."

Are we about to find out who's really behind the attack?

Source: Reuters
 
Back
Top Bottom