VERDAD
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 275
- 532
Source ya raia wa Ukraine kupigana upande wa Russia???
Usiame mada, swala Mrusi anatumia wafungwa, si Ukraine kafanyaje na wakina nani, yeye anaweza fanya lolote si kanchi kadogo, ila si ujinga wa kusema Russia anatumia wafungwa.
Tusi lipo wapi ama ndio uzwazwa hujui hata maana ya tusi?

Wewew ndo mpumbavu uliyekubuhu. Huna hata fikra kuwa raia kibao wamepelekwa vitani?, huna taarifa kuwa wapiganani wa kujitolea wa upande wa ukraine amabaoo wanapigana upande wa urusi na raia watupu ikijumuisha raia wa kigeni hata waliokuwa wanafunzi. Inaonesha hujui kinavchoendekea huko duniani ndiyo maana una argue kwa matusi