Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

Wanajitahidi sana kupiga propaganda ila UKRAINE mwenyewe naona anawangusha
Ingeandikwa kwa Kiswahili ungepost hii??? Ama kila cha kiingereza ni ukweli?
Soma hapa kisha tafakari namna gani unafuta hii usidharirike
Russia inajumla ya wanajeshi active 1,014,000, tuseme wamekufa 30,000, ndio waende magerezani??? Bado wanareserve 2,000,000 sasa wanaenda kuchua wafungwa wa nini???
 
Yaani inventory ya mataifa kumi hivi ya Afrika na mpaka sasa mumeambulia tumiji twa huko mpakani.....inapaswa waarabu wa Bongo muwe mumechoka kusapoti hawa supapawa mchongo..
'Mumeambulia' 'tumiji' 'mumechoka'
Yani nasikia kabisa Kiswahili chako kutokana na muandiko wako 🤣🤣🤣

Anyway ni kweli wamechoka
 
acha kusambaza propaganda za Magharibi.
Yaani wewe unachukua habari ya vita ya Urusi na Ukraine kutoka Forbes na kuisambaza kama habari.

Wewe sambaza za Uarabuni tutakuskliza...
 
Kama vita ni lelemama - huu ni mwaka wa ngapi tangu jeshi lenu lijiingize Somalia,je,mmekwisha teka miji mingapi so far?? Badala yake mko busy mnagombania biashara ya mkaa na Wasomali!!

Kitu kingine, kama unafikiri silaha za Urusi si lolote si chochote mbona jeshi la anga la Kenya mlikwenda kununua Russian helicopter gunships (Mil-24) kutoka Urusi, kwa nini hamkununua Apache Gunship??

Halafu supapawa wa mchongo mpaka sasa ameambulia tumiji twa mipakani licha ya hasara yote hiyo, kainchi kadogo kamemshinda kufumua, nashindwa nini nyie waarabu wa Bongo mnateseka vyote hivi kumuabudu Putin.
 
Ndoto zako za mchana zitakapoisha na ukagundua kuwa unaota,tutaondokana na haya matatizo!

Mpaka kieleweke, mmeshindwa pakutokea, jenerali mwingine kaliwa.
 
🤣🤣🤣 So vifaru vya zamani ila vizima unataka alimie?vile si vyombo vya kivita mzee ama vinaexpire date???

Aendelee kuvileta vyote tuvifyeke....
 
'Mumeambulia' 'tumiji' 'mumechoka'
Yani nasikia kabisa Kiswahili chako kutokana na muandiko wako 🤣🤣🤣

Anyway ni kweli wamechoka

Operesheni iliyokudusiwa siku tatu sasa miezi miine, hasara ya ajabu, Mrusi analo...
 
Na sio muda mrefu urusi itaishiwa siraha na itaanza kutumia mishale na mawe. na itakuwa ni sheria kila mwanajeshi wa urusi anapo ingia vitani lazima ajaze mawe mfukoni.
Oyaa babuu urusi wanatengeneza silaha zao wenyewe,apo wanachofanya ni clearing tu wa mzigo wa zamani visije vikaozeana
 
Halafu supapawa wa mchongo mpaka sasa ameambulia tumiji twa mipakani licha ya hasara yote hiyo, kainchi kadogo kamemshinda kufumua, nashindwa nini nyie waarabu wa Bongo mnateseka vyote hivi kumuabudu Putin.
Please revisit all your comments herein, kwa nini kila post unataja taja waarabu?

Wengi wetu tunajua Kenya ina matatizo na Wasomali (Al Shabab) lakini siyo Waarabu, mwenzetu tufafanulie leo Warabu wanakukwaza nini wewe binafsi au Taifa lako kwa ujumla?
 
Waarabu ndio waliowaharibu nyie hadi kuwapandikiza chuki dhidi ya Marekani, mnafikiri kwa kushabikia Putin mnakomoa Marekani, mtateseka sana.
 
Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara yote hiyo, ameambulia tumiji twa huko mpakani wa Ukraine na bado twenyewe tunampa shida.

Sasa ameanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s yaani T62 na Ukraine walivyo na jeuri ya kutokua na huruma, wameanza kuvifyeka, kuna hii video inaonyesha wanavyovishushia mabomu kwa drones.
===

Some weeks ago we learned that Russia was mobilizing T-62 tanks from its long term storage facilities; predictably enough, they are not faring well. The first one to show up on the battlefield became a target for a Ukrainian drone which dropped a hand grenade right through the driver’s hatch.

Russia’s tanks have taken a severe beating on the frontline, as increasing numbers of Javelins and other anti-tank weapons supplied by the West are reaching Ukrainian forces, and as Ukrainian artillery hone their skills at hitting individual vehicles with the aid of drones. According to the listing by independent analysts Oryx, who painstakingly document every single vehicle loss which can be confirmed, Russia has now lost at least 836 tanks, out of an estimated 2,800. Those are the confirmed losses, there may be many more not documented.

These staggering losses – more than the total number of tanks possessed by Germany, France and the U.K. put together – mean that Russia is having to draw on stocks of vehicles in ins strategic reserves, giant warehouses and vehicles parks with vehicles previously retired from active duty. Among the oldest of these are the venerable T-62s, a type first introduced in the 1960s. The last one rolled off the production line in 1973.

Source? Forbes!! Mtu unategemea nini kutoka kwenye media za Forbes, the SUN ,Reuters nk - usanii mtupu

Kichekesho,Taifa linalo wasema sema vibaya Warusi kwamba bado wanatumia vifaru vya stone age era, mbona wao bado wanatumia ndege za mwaka 1952 yaani B-52,Hercules za mwaka gani, A-10 za mwaka gani, Trident na Minuteman (ICBM)za mwaka gani mbona juzi juzi hapa walikuwa wanazipiga brash,kwa nini hawaundi mpya kuwaiga Warusi,Wachina na North Korea wenye formidable and latest hypersonic missiles and glide vehicles - USA na mataifa ya Ulaya hayana kinga dhidi ya missiles hizi hatari na hilo wote wanalijua sana, ndio maana US na kundi la NATO wanajaribu kwa hali na mali kutumia jeshi na raia wa Ukraine na ujinga wa Zelensky kuendeleza vita ambavyo Ukraine haiwezi kushinda kwa vyovyote vile, US na washirika wake wanacho taka/tafuta ni kujaribu kudhoofisha jeshi na uchumi wa Russia kwa kupitia mbinu za kurefusha mapigano huko Ukraine, yaani vita iendelee miaka nenda rudi - ndio maana Zelensky ameshauriwa na Biden na genge lao kwamba hasikubali ku-surrender kwa Putin, Zelensky anacho sahau ni kwamba watakao teseka na kupoteza nchi ni raia wa Ukraine sio Waamerika au mataifa ya NATO - Zelensky akili hizo hana kabisa, yupo yupo tu maiigizo 24X7!!
 
Waarabu ndio waliowaharibu nyie hadi kuwapandikiza chuki dhidi ya Marekani, mnafikiri kwa kushabikia Putin mnakomoa Marekani, mtateseka sana.
Labda nikuhoji swali dogo la msingi,je,taifa lenu lilipo pata uhuru lilisaidia mataifa mangapi kusini mwa Afrika kupata uhuru, hamkujali lolote - Kenyatta kashikamana na USA kuhujumu harakati za wapigania uhuru, mkawa marafiki wa Ian Smith, Botha,Savimbi,Kamuzu Banda, Mobutu, Mancham wa visiwa vya Shelisheli,mkawa karibu na Chester Crocker muhuni mkubwa wa ucheleweshaji uhuru wa Afrika kusini kwa visingizio vya so called constructive engagement - buying time!! Your Nation was part and parcel of all these scum!!

FYI, we know a lot lakini mengine tunamezea tu - kupenda penda kwako ma Gringos unconditionally, basi wenye akili tunajua chimbuko lake ni nini, that is how you were raised, wengi wenu kwenye Taifa lenu the World is "America" hivyo msimamo wako kuhusu Urusi na China haushangazi hata kidogo.
 
Source? Forbes!! Mtu unategemea nini kutoka kwenye media za Forbes, the SUN ,Reuters nk - usanii mtupu

Kichekesho,Taifa linalo wasema sema vibaya Warusi kwamba bado wanatumia vifaru vya stone age era, mbona wao bado wanatumia ndege za mwaka 1952 yaani B-52,Hercules za mwaka gani, A-10 za mwaka gani, Trident na Minuteman (ICBM)za mwaka gani mbona juzi juzi hapa walikuwa wanazipiga brash,kwa nini hawaundi mpya kuwaiga Warusi,Wachina na North Korea wenye formidable and latest hypersonic missiles and glide vehicles - USA na mataifa ya Ulaya hayana kinga dhidi ya missiles hizi hatari na hilo wote wanalijua sana, ndio maana US na kundi la NATO wanajaribu kwa hali na mali kutumia jeshi na raia wa Ukraine na ujinga wa Zelensky kuendeleza vita ambavyo Ukraine haiwezi kushinda kwa vyovyote vile, US na washirika wake wanacho taka/tafuta ni kujaribu kudhoofisha jeshi na uchumi wa Russia kwa kupitia mbinu za kurefusha mapigano huko Ukraine, yaani vita iendelee miaka nenda rudi - ndio maana Zelensky ameshauriwa na Biden na genge lao kwamba hasikubali ku-surrender kwa Putin, Zelensky anacho sahau ni kwamba watakao teseka na kupoteza nchi ni raia wa Ukraine sio Waamerika au mataifa ya NATO - Zelensky akili hizo hana kabisa, yupo yupo tu maiigizo 24X7!!

Wewe fuata source za Urusi au huko Uarabuni, mimi nifuate za kwangu tupelekashane hivi hivi, yaani nyie mkiandika propaganda za Urusi inaitwa kweli, ila sisi tukiandika taarifa za upande wetu mnaona propaganda.
 
Labda nikuhoji swali dogo la msingi,je,taifa lenu lilipo pata uhuru lilisaidia mataifa mangapi kusini mwa Afrika kupata uhuru, hamkujali lolote - Kenyatta kashikamana na USA kuhujumu harakati za wapigania uhuru, mkawa marafiki wa Ian Smith, Botha,Savimbi,Kamuzu Banda, Mobutu, Mancham wa visiwa vya Shelisheli,mkawa karibu na Chester Crocker muhuni mkubwa wa ucheleweshaji uhuru wa Afrika kusini kwa visingizio vya so called constructive engagement - buying time!! Your Nation was part and parcel of all these scum!!

FYI, we know a lot lakini mengine tunamezea tu - kupenda penda kwako ma Gringos unconditionally, basi wenye akili tunajua chimbuko lake ni nini, that is how you were raised, wengi wenu kwenye Taifa lenu the World is "America" hivyo msimamo wako kuhusu Urusi na China haushangazi hata kidogo.

Mambo ya uhuru na Urusi kuingia hasara kule wapi na wapi, yaani mumechanganyikiwa hadi raha..... Waarabu wa Bongo mnaparamia kila kitu lakini mtaambiwa ilivyo bila kufichwa.
 
Urusi alianza vita na best modern weapons na best fighters akitarajia kuwa angeiteka ukraine na Kyiv ndani ya saa 72

Akashindwa wapiganaji wazuri wake wengi wameteketea na best weapons kutekeketea

Stock iliyobaki ya Askari wazuri na vifaa vizuri ndogo ndio maana kurudi stock ya zamani anaanza kuishiwa pumzi

USA juzi wameidhinisha msaada.mwingine kwa Ukraine wa dola bilioni moja na laki tano na NATO wametoa dola milioni moja kusaidia Ukraine. Kupambana na Urusi
 
Russia inajumla ya wanajeshi active 1,014,000, tuseme wamekufa 30,000, ndio waende magerezani??? Bado wanareserve 2,000,000 sasa wanaenda kuchua wafungwa wa nini???
MBONA una fikra finyu sana, jikite kwenye hoja: kwahiyo unafikiri kuwa kuingiza wafungwa vitani hakuwezekani kwakuwa kuna reserve ya kutosha? kweli?, fikra zako zimefikia hapo?. Tanzania inaposema wafungwa wafanye shughuli za uzalishaji ni kwakuwa nchi imekosa rasilimali watu wa kuzalisha??????
 
Back
Top Bottom