Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Mkuu,inaonekana msemo wa wahenga waliposema "" elimu bahari""umekupita mbaliSikujua kama uko nyuma hivi kwa technology za sasa
Hivi unashangaaje kwa silaha wakati hata gari hizi za sasa huwezi kujua kuzitumia mpaka ufundishwe?
Unafikiri gari za sasa ni gear na breaks na acceleration tu
Jifunze sana mkuu kumbe bado mengi ya kuona sio kusikia tu
Ni suala la muda tu - HIMARS hutazisikia tena, kumbukeni Drones za Utruki huko Ukraine zilivyo shughurikiwa na air defense system za Russia hivyo Drone hizo siku hizi hazitambi tena - mwarobaini wa HIMARS bado huko jikoni unachemka muda si mrefu zitakumbwa na kisago cha nguvu, pia mamuluki wa Kimerikani wanao tumiwa kuzifyatua nao watapelekwa jehanamu watake wasitake.
Kumbukeni kwamba Urusi kitu ingine kabisa omba uwasikie kwenye radio tu, watu hawajui kwamba nguvu ya Urusi ya kijeshi inayo tumika kwenye operation hii nchini Ukraine ni asili mia 5% ya nguvu halisi ya Russian miIitary - kama Putin ange hamua kufanya kweli, saa hizi tungelikuwa tunazungumza mengine kabisa kuhusu Taifa la Ukraine.
Zelensky hasijifanye kichwa ngumu, atumie hekima na busara afanye mazungumzo na Putin ili kusitisha vita atekeleze makubaliono yao ya Minski hasikubali ushauri mbovu anaopewa na Biden na wapambe wake wachumia tumbo.
Zelensky akumbuke kwamba hata apate misaada lukuki kutoka magharibi hataweza kushinda vita hii, badala yake Taifa lake litazidi kuharibiwa vibaya sana na raia wengi kupoteza maisha, vile vile majirani zake wana mpango wa kuimega Ukraine vipande vipande: mashariki itamegwa na Urusi na actually wamekwisha anza mchakato wa kutwaa majimbo yote ya mashariki ,majimbo ya magharibi Poland na Romania ziko mbioni kuyamega, mwisho wa siku Ukraine itabakiwa na jimbo la Kiev tu, basi.
Unanataka rais zelensiky afanye mazungumzo na mtu aliyetaka kuipindua serikali yake? Hivi unakumbuka rais Putin aliwahi kuwaambia wanajeshi wa Ukraine waweke siraha chini na kujisalimisha??Ni suala la muda tu - HIMARS hutazisikia tena, kumbukeni Drones za Utruki huko Ukraine zilivyo shughurikiwa na air defense system za Russia hivyo Drone hizo siku hizi hazitambi tena - mwarobaini wa HIMARS bado huko jikoni unachemka muda si mrefu zitakumbwa na kisago cha nguvu, pia mamuluki wa Kimerikani wanao tumiwa kuzifyatua nao watapelekwa jehanamu watake wasitake.
Kumbukeni kwamba Urusi kitu ingine kabisa omba uwasikie kwenye radio tu, watu hawajui kwamba nguvu ya Urusi ya kijeshi inayo tumika kwenye operation hii nchini Ukraine ni asili mia 5% ya nguvu halisi ya Russian miIitary - kama Putin ange hamua kufanya kweli, saa hizi tungelikuwa tunazungumza mengine kabisa kuhusu Taifa la Ukraine.
Zelensky hasijifanye kichwa ngumu, atumie hekima na busara afanye mazungumzo na Putin ili kusitisha vita atekeleze makubaliono yao ya Minski hasikubali ushauri mbovu anaopewa na Biden na wapambe wake wachumia tumbo.
Zelensky akumbuke kwamba hata apate misaada lukuki kutoka magharibi hataweza kushinda vita hii, badala yake Taifa lake litazidi kuharibiwa vibaya sana na raia wengi kupoteza maisha, vile vile majirani zake wana mpango wa kuimega Ukraine vipande vipande: mashariki itamegwa na Urusi na actually wamekwisha anza mchakato wa kutwaa majimbo yote ya mashariki ,majimbo ya magharibi Poland na Romania ziko mbioni kuyamega, mwisho wa siku Ukraine itabakiwa na jimbo la Kiev tu, basi.
Mkuu naomba nikwambie kwamba nguvu ya Russia aliyokuwa nayo mwezi wa 2 wakati hii operesheni ikiwa ya moto kwelikweli sio hii Sasa.., hivyo itachukua mda sana kupata hiyo dawa ya HIMARS,au huenda isipatikane kabisa,ni siraha gani hambayo urusi hajatumia mpaka Sasa?? Labda nyukria tu!Sio kwa mahaba haya yote, hehehe
Kimsingi ni hasara zinazosababisha kabla Mrusi hajafaulu kuzitafutia mbinu, HIMARS moja inasababisha hasara mithili ya bei ya HIMARS kumi.
Kwa mfano ule msafara wa kwenda Kyev ulikua unapigwa javelin, yaani javelin moja inaondoa vifaru hadi kumi, yaani ukilinganisha inakua sio kabisa.
HIMARS mpaka sasa zimetumika kulipua ammunition dumps, command posts, bridges and other high-value targets including killing many Russian soldiers na zimesababisha wanajeshi wa Urusi maelfu wamekua cut off from supply lines, mpaka Mrusi azipatie suluhu atakua ameita maji ma..
Akizipatia suluhu wanaibuka na kitu kingine, tena kisababishe hasara zaidi....
Vita kua ya muda mrefu imeshakua advantage kwa mrusi...............magharibi huko maisha yanazidi kua magumu.....mzee baba anaua ndege wawili kwa jiwe moja.....ndo maana hana haraka kabisa kuimaliza hii vita kwa sasa labda kama hao ukraine wawe tishio sana kwake .....juzi tu hapo kawapa salamu hapo kiev wakitaka kutunisha misuli zaidi atawafuta hukohuko wanapojificha kufanya maamuziMkuu naomba nikwambie kwamba nguvu ya Russia aliyokuwa nayo mwezi wa 2 wakati hii operesheni ikiwa ya moto kwelikweli sio hii Sasa.., hivyo itachukua mda sana kupata hiyo dawa ya HIMARS,au huenda isipatikane kabisa,ni siraha gani hambayo urusi hajatumia mpaka Sasa?? Labda nyukria tu!
Mkuu naomba nikwambie kwamba nguvu ya Russia aliyokuwa nayo mwezi wa 2 wakati hii operesheni ikiwa ya moto kwelikweli sio hii Sasa.., hivyo itachukua mda sana kupata hiyo dawa ya HIMARS,au huenda isipatikane kabisa,ni siraha gani hambayo urusi hajatumia mpaka Sasa?? Labda nyukria tu!
Hadi leo kinachonishangaza inakuwaje Urusi kashindwa zuia silaha zisimfikie Ukraine
Hakika muda utaongea, tuvute subra,hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kushabikia huu udhalim...,narudia kusema; hata Vietnam ilichakaa sana ,, lakini udhalim haujawai kushinda popote pale,Pia ukizingatia ametumia wanajeshi hadi wa akiba, pia ametumia hadi wapiganaji wa Chechnya na makundi mengine mpaka kutokea Syria....amechoka sana jamaa.
Hamna kitu kigumu kama kupigana na watu kwenye nchi yao ndani, kadiri unavyowaua haswa akina baba na mama zao ndio unazidisha hasira, Urusi amekua akisambaratisha majengo ya kifamilia bila kutaka kujali akina nani wako humo, mamilioni ya raia wa Ukraine wanazidi kuingiwa na hasira sana wakiona picha kama hizi, unashangaa mtu anashabikia kabisa kwa mahaba ya kidini udhalimu kama huu
🤣🤣🤣Hadi leo kinachonishangaza inakuwaje Urusi kashindwa zuia silaha zisimfikie Ukraine
Yaani hata mimi nakuunga mkono,Urusi ilitakiwa within 7 days iwe tayari imemaliza vita .Vita ikichykua muda mrefu adui anakusomal na hata kama ni nunda atakushinda tuu kwa sababy umejiaminin sana.Binafsi naamini kuwa Russia ningekuwa smart wangepata wanacho kutaka Bila kurusha hata risasi moja.......
Putin huenda anatamani amalize Vita Ila namna ya kuvimaliza bila kuonekana ameshindwa ndio changamoto.Maana kwamba HIMARS ni too advanced kutumika na wanajeshi wa Ukraine wenyewe bila kuwa na waelekezaji, ni zana ambazo zimesababisha majanga makubwa sana kwa Urusi na kubadilisha mkondo.
Mpaka sasa zimetumika kulipua maghala 50 za silaha za Warusi pamoja na maangamizi mengine, Warusi wanazisaka usiku na mchana, wamezikalia vikao, wamezijadili na kuzilaani ila bado muziki ule ule, na Marekani tayari wanaongeza zingine.
Kuna madude aina nyingi bado Marekani hawajawapa Ukraine, na tayari Urusi wamejichokea, hizi HIMARS ni chombezo tu la kujaribisha uwanja, binafsi hata sikua nafahamu kuna silaha aina hii ya HIMARS.
======================
Ukraine said it has used US-supplied HIMARS rocket systems to destroy 50 Russian ammunition depots since receiving the weapons last month, while Russia has claimed its forces destroyed a HIMARS ammunition depot in Ukraine’s Khmelnytskyi region.
Moscow has previously said it has destroyed several of the high mobility artillery rocket systems (HIMARS) supplied to Ukraine by the West, in claims denied by Kyiv.
On Monday, Ukraine’s defence minister Oleksiy Reznikov underlined the growing impact that the HIMARS appear to be having as Ukraine tries to repel Russia’s invasion.
“This cuts their [Russian] logistical chains and takes away their ability to conduct active fighting and cover our armed forces with heavy shelling,” Reznikov said in comments on national television.
Reznikov’s remarks could not be independently verified. Russia did not immediately comment on the claims.
Reznikov said Ukrainian artillery crews had conducted “precise” attacks on several bridges. He gave no details but was apparently referring to three river crossings in the Russian-occupied Kherson region, which local occupation authorities say were attacked by HIMARS over the past week.
Reznikov also said Ukraine had received three Gepard anti-aircraft armoured fighting vehicles, the first of 15 expected, and that Kyiv was expecting to take delivery of several dozen Leopard tanks.
Russia meanwhile says it has destroyed several HIMARS, though Ukraine has denied this. In the latest such report, Russia’s defence ministry said on Monday its forces had destroyed an ammunition depot for HIMARS in the Khmelnytskyi region in western Ukraine.
Ukrainian officials have said repeatedly that Western supplies of weapons are critical to Ukraine’s military effort, and underlined the importance of the HIMARS because of Russia’s artillery supremacy in terms of numbers and ammunition.
HIMARS are a high-tech, lightweight rocket launcher that is wheel-mounted, giving it more agility and manoeuvrability on the battlefield.
Each unit can carry six GPS-guided rockets, which can be reloaded in about a minute with only a small crew.
Analysts say the system has a longer range and is more precise than the Soviet-era artillery that Ukraine had in its arsenal.
Russia has criticised the United States in particular for providing Ukraine with instructors to help Ukrainian forces use HIMARS.
Russia, which invaded Ukraine on February 24, has captured a chunk of territory in southern Ukraine and used its artillery supremacy in the east to make gradual territorial gains.
Ukraine and Russia make competing claims on HIMARS rocket systems
Kyiv says it has destroyed 50 Russian ammunition depots with the US-supplied rockets, Russia claims hit on HIMARS depot.www.aljazeera.com
Mkuu drone zimefanya mambo huko Crimea. Navy headquarter imepigwa na drone.Unamaoni gani ewe mrusi wa buza?Ni suala la muda tu - HIMARS hutazisikia tena, kumbukeni Drones za Utruki huko Ukraine zilivyo shughurikiwa na air defense system za Russia hivyo Drone hizo siku hizi hazitambi tena - mwarobaini wa HIMARS bado huko jikoni unachemka muda si mrefu zitakumbwa na kisago cha nguvu, pia mamuluki wa Kimerikani wanao tumiwa kuzifyatua nao watapelekwa jehanamu watake wasitake.
Kumbukeni kwamba Urusi kitu ingine kabisa omba uwasikie kwenye radio tu, watu hawajui kwamba nguvu ya Urusi ya kijeshi inayo tumika kwenye operation hii nchini Ukraine ni asili mia 5% ya nguvu halisi ya Russian miIitary - kama Putin ange hamua kufanya kweli, saa hizi tungelikuwa tunazungumza mengine kabisa kuhusu Taifa la Ukraine.
Zelensky hasijifanye kichwa ngumu, atumie hekima na busara afanye mazungumzo na Putin ili kusitisha vita atekeleze makubaliono yao ya Minski hasikubali ushauri mbovu anaopewa na Biden na wapambe wake wachumia tumbo.
Zelensky akumbuke kwamba hata apate misaada lukuki kutoka magharibi hataweza kushinda vita hii, badala yake Taifa lake litazidi kuharibiwa vibaya sana na raia wengi kupoteza maisha, vile vile majirani zake wana mpango wa kuimega Ukraine vipande vipande: mashariki itamegwa na Urusi na actually wamekwisha anza mchakato wa kutwaa majimbo yote ya mashariki ,majimbo ya magharibi Poland na Romania ziko mbioni kuyamega, mwisho wa siku Ukraine itabakiwa na jimbo la Kiev tu, basi.
Putin huenda anatamani amalize Vita Ila namna ya kuvimaliza bila kuonekana ameshindwa ndio changamoto.
unafiki utake aman hlf uwe neutral kweny uvamizngoja tuone mwisho wake sina upande wowote wa kuengemea mimi nataka amani tu
huu ndo ukwel ambao teamKobaz hawauelew wao kila kitu nguvBinafsi naamini kuwa Russia ningekuwa smart wangepata wanacho kutaka Bila kurusha hata risasi moja.......
umeandika pumba sn yaan bajeti ya Urusi ni mara mbili ya USA hlf atumie 5% ya nguvu yake kupambana na nchi inayosaidiwa na USA na westNi suala la muda tu - HIMARS hutazisikia tena, kumbukeni Drones za Utruki huko Ukraine zilivyo shughurikiwa na air defense system za Russia hivyo Drone hizo siku hizi hazitambi tena - mwarobaini wa HIMARS bado huko jikoni unachemka muda si mrefu zitakumbwa na kisago cha nguvu, pia mamuluki wa Kimerikani wanao tumiwa kuzifyatua nao watapelekwa jehanamu watake wasitake.
Kumbukeni kwamba Urusi kitu ingine kabisa omba uwasikie kwenye radio tu, watu hawajui kwamba nguvu ya Urusi ya kijeshi inayo tumika kwenye operation hii nchini Ukraine ni asili mia 5% ya nguvu halisi ya Russian miIitary - kama Putin ange hamua kufanya kweli, saa hizi tungelikuwa tunazungumza mengine kabisa kuhusu Taifa la Ukraine.
Zelensky hasijifanye kichwa ngumu, atumie hekima na busara afanye mazungumzo na Putin ili kusitisha vita atekeleze makubaliono yao ya Minski hasikubali ushauri mbovu anaopewa na Biden na wapambe wake wachumia tumbo.
Zelensky akumbuke kwamba hata apate misaada lukuki kutoka magharibi hataweza kushinda vita hii, badala yake Taifa lake litazidi kuharibiwa vibaya sana na raia wengi kupoteza maisha, vile vile majirani zake wana mpango wa kuimega Ukraine vipande vipande: mashariki itamegwa na Urusi na actually wamekwisha anza mchakato wa kutwaa majimbo yote ya mashariki ,majimbo ya magharibi Poland na Romania ziko mbioni kuyamega, mwisho wa siku Ukraine itabakiwa na jimbo la Kiev tu, basi.
Agiza kinywaji chochote nakuja kulipa, ukifuatilia mijadala ya watu wengine tofauti ya hapa tz utagundua bongo tuna ushabiki wa hovyo Sana, vijana wa Russia wanakufa kwa order za kikuda, raia wa ukraine wanakufa bila hatatia inauma Sana. Kuna baadhi ya akili ukizichunguza utagundua nchi yetu ina vilaza sanaHakika muda utaongea, tuvute subra,hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kushabikia huu udhalim...,narudia kusema; hata Vietnam ilichakaa sana ,, lakini udhalim haujawai kushinda popote pale,