Urusi waondosha maafisa wa ubalozi wa Sudan, sikujua na wao watakimbia

Urusi waondosha maafisa wa ubalozi wa Sudan, sikujua na wao watakimbia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwa vile ni dhahiri Urusi imeshindwa Ukraine na kuhamisha nguvu nyingi kwenye heka heka za Afrika, sikujua na wao hukimbia kikinuka kwenye bara hili............

Russia says it has evacuated staff from its embassy in Khartoum, citing the high security risks to personnel amid the ongoing hostilities in Sudan.

In a statement this week, the Russian Foreign Ministry said it has evacuated some Russian embassy employees from Khartoum, as well as Russian citizens and family members who applied for help in returning home, from Port Sudan.

It said the evacuees arrived at Chkalovsky Air Base, 31 kilometres northeast of Moscow, on a special flight on Tuesday.
 
Hehehehe sheikh nilikuomba upunguze hasira, Mrusi bado hajakamatwa vizuri, mlimtegemea...
Sasa hii nayo ni habari ya kushangilia?Kuna habari kweli hapa?Mko obsessed na urusi mpaka mnachanganyikiwa!
 
Nawapa ukweli wenu mlivyoshabikia wakati Urusi inaanza kuparamia Kyev, mlivyokua mnakesha humu hehehe nitawapelekesha sana sheikh yaani napata raha sana.
Sasa hiyo ya kuvamia Kiev inahusiana vipi na Russia kuondoa raia wake Sudan ili wawe salama?
Nchi zilizoondoa raia wake huko Sudan nazo zilivamia wapi?
U dont make any sense kwakweli!
 
Sasa hiyo ya kuvamia Kiev inahusiana vipi na Russia kuondoa raia wake Sudan ili wawe salama?
Nchi zilizoondoa raia wake huko Sudan nazo zilivamia wapi?
U dont make any sense kwakweli!

Tutaisakama Urusi kila kona hadi huko ambapo inapigana proxy wars......
Ndio ujue bwana sheikh unaabudu the wrong mtume Putin....hehehe
 
Yaan urus imechukua majimbo yote iliyoyataka halafu mnasrma kasindwa

Aliangukia pua Kyiv, akaona isiwe tabu basi ajiliwaze kwa miji ya huko mipakani, kaliwa wanajeshi zaidi ya 200,000 huko, na yenyewe inamtoka puani.
 
Tutaisakama Urusi kila kona hadi huko ambapo inapigana proxy wars......
Ndio ujue bwana sheikh unaabudu the wrong mtume Putin....hehehe
Jitafute aisee,umepoteana!
 
😄😄😄 sasa hapo nini cha ajabu mkuu, yaani wewe jamaa unatabu sana, kutwa nzima unahangaika kutafta habari za Kuiponda Kremlin, utapata tabu sana.
 
😄😄😄 sasa hapo nini cha ajabu mkuu, yaani wewe jamaa unatabu sana, kutwa nzima unahangaika kutafta habari za Kuiponda Kremlin, utapata tabu sana.

Hehehe nafurahi sana inavyowauma, nyie ndio chachu ya hizi jitihada zangu, kamba mnaipata freshi...
 
Aliangukia pua Kyiv, akaona isiwe tabu basi ajiliwaze kwa miji ya huko mipakani, kaliwa wanajeshi zaidi ya 200,000 huko, na yenyewe inamtoka puani.
ProRussians kuamini mwamba wao Putin kashikwa pabaya ni Kazi Sana!
 
Back
Top Bottom