Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Na wewe unakomaa na ujinga!Vita ya Russia na ukraine inahusiana vipi na Russia kuondoa raia wake Sudan?Mbona mataifa mengine ambayo hayako vitani yamefanya hivyo?Habari ni habari tu hata kama haikufurahishi kama ile ya mahakamani Mbeya.
Habari ilipaswa kuja kama ilivyo na sio kutengenezewa propaganda mfu!