MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
Hebu niwekee nami nimuone!
Utakua unamjibu nani hapa maana kuna watu huwa nimeweka kwenye ignore list baada ya wao kushindwa kudhibiti hasira kwa taarifa zangu za kipigo anachopokea Urusi wakaanza matusi ya nguoni kabisa, huwa sioni posts zao au majibu yao kwangu.
Hasira zenu ndio chachu yangu ya kuendelea kuleta hizi habari, ila ukishindwa kabisa kuvumilia uanze matusi ya kwenye nguoni nakutia kwenye ignore list, utakua unanijibu posts zangu na matusi yako lakini sikuoni wala kuona hayo matusi...hehehe