Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Haiwezekani JF nzima ujione wewe ndio una akili kuliko wote,hapo unatakiwa ushtuke kuwe wewe ndio una tatizo!Nakazia,siku ukijenga hoja nitag!Hukulijua hilo, nyie mlioshikiliwa ubongo sina muda wa kuendana na nyie kwenye hoja, ni kuwapa ukweli wenu na kuchezea hasira zenu, naleta uzi baada ya uzi miaka miwili sasa, pigwa na kitu kizito sheikh hehehe Ukraine wamechukua silaha nyingi sana za Warusi waliotoroka mapigano