Urusi waondosha maafisa wa ubalozi wa Sudan, sikujua na wao watakimbia

Habari ni habari tu hata kama haikufurahishi kama ile ya mahakamani Mbeya.
Na wewe unakomaa na ujinga!Vita ya Russia na ukraine inahusiana vipi na Russia kuondoa raia wake Sudan?Mbona mataifa mengine ambayo hayako vitani yamefanya hivyo?
Habari ilipaswa kuja kama ilivyo na sio kutengenezewa propaganda mfu!
 
Hehehe sikujua bado uko huku, nilikuambia haya mambo yatakutesa mpaka upunguze hasira sheikh......
 
Mtu ameniquote,nikaja kumpa majibu yake!Wewe ndio unateseka,mbaya zaidi mrusi ndio anakutesa!Ogopa sana mtu anateseka juu yako halafu wewe hata hujui kama wamtesa!Ndio wewe sasa,mrusi anakutesa bila yeye kujua kama anakutoa kamasi!
 
Hehehe!!! Yaani unavyohangaika humu hehehe, huyu Mrusi aliwaingiza pabaya sheikh, ndio keshaliwa hivyoooo.....hasira zako hazitosaidia kitu.
 
Mbona unalazimisha mambo ambayo hayapo?Uko obssesed na Russsia kiasi kwamba sidhani kama unapata usingizi vizuri!
Usipoangalia utapata maradhi ya moyo,Russia ipo na itaendelea kuwepo!So endelea kuteseka,dawa inaingia taratibu!
 
Mkuu naona Kremlin wanakupa update kila baada ya dk 10
 
Una akili za kitoto
 
Utakufa kwa pressure dogo!Huu mgogoro bado mbichi kabisaaa!

Presha ingenimaliza siku ya ule msafara wa kwenda kufumua Kyiv, lakini kwa namna uliondoshwa na wabeba javelin, yaani tangu hiyo siku ni raha tu, kila siku nasaka taarifa za kuja kuwapumulia humu, kila mkiwehuka ndio napata chachu, safii sana...hehehee
 
Mkuu naona Kremlin wanakupa update kila baada ya dk 10

Nisaidie link ya source unazojua, sijui nijiunge channel ipi nipate taarifa nyingi nyingi za kipondo kwa Urusi.
 
Inaonekana siku ukraine akipelekewa moto wa kutosha huwa hulali kwa msongo wa mawazo!
Relax,kichapo kipo palepale!Usipoangalia utapata sonono!
 
Umepatia, yaani msafara ulisababisha nigande aise, kwanza mlivyokua mnakesha humu na vitisho, leo kibao kimebadilika mnajifanya kuhamaki....siwaachi aise.
 
Hapo nimeelewa,kila siku mnapelekewa moto hivyo unakuwa na msongo wa mawazo!Ndio maana hata Russia kuondoa raia wake Sudan basi kwako ni big news!Unatafuta vijihabari vya kukutia moyo!Sio mbaya as long as inakusaidia kupunguza stress za kichapo na failed counter offensive!
 
Hehehe tunapelekwa moto upi...yaani nimewapumulia humu tangu mlipoangukia pua kwa kujaribu kuiteka Kyiv, mnajifia kama mizoga....na nitawahabarisha humu hadi basi tu, siwaachi hata ukijifanya kufyatuka kwa hasira ndio unaniongeza mzuka bwana sheikh.....
 
Unanilazimisha niwe na hasira?Wee mtu vipi?JF ni sehemu ya kuburudika baada ya msoto wa kutafuta faranga!Kama unahisi unanitia hasira basi pole sana!
 
Hapo kama utajilipua muda wowote...hehehe...Na bado tu, yaani ukifyatuka nashusha uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…