Urusi yaanza kulialia kuhusu vifaru anavyopewa Ukraine

Urusi yaanza kulialia kuhusu vifaru anavyopewa Ukraine

Tunazingumzia hayo machuma ya Leopard2 zilivyogaragazwa huko Syria

Mrusi hapamatiki, analia sana kuyahusu, anahaha tayari, ukikumbuka alikua anapigwa na wabeba javelin, sasa madude ya kweli yanakuja.
 
Mrusi hapamatiki, analia sana kuyahusu, anahaha tayari, ukikumbuka alikua anapigwa na wabeba javelin, sasa madude ya kweli yanakuja.
PESKOV: "Ni kwamba tu kwa upande wa kiteknolojia, huu ni mpango ulioshindwa, na muhimu zaidi ni kukadiria wazi uwezo ambao itaongeza kwa vikosi vya kijeshi vya Ukraine. Huu ni udanganyifu mwingine mbaya sana,"

"Tumesema mara kwa mara kwamba vifaa kama hivyo havitabadilisha chochote, lakini vitaongeza matatizo kwa Ukraine na kwa watu wa Ukraine,"

Mwamba anawachana mnasema analia angalia kinachotokea Kyiv jana 🙂 🙂 🙂 🙂
 
Huyo anabadilisha badilisha kauli, akilewa vodka ananguruma, ila akiwa sober analialia....
Kimsingi Urusi sasa hivi wameshalemazwa, kiasi kwamba aina yoyote ya silaha inawachapa, hata JWTZ ikijitutumua inaipiga Urusi leo....hehehe
 
Hahahahahaah hata jana kiev alionesha ulegevu wake sio?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyo anabadilisha badilisha kauli, akilewa vodka ananguruma
Tulia utaelewa tu washaanza na Kyiv so pelekeni saivi hatuangalii mmeweka karibu na Nuclear plant maana baada ya kushindwa kujificha kwenye makazi ya watu mmehamia kwenye kuficha silaha kwenye mitambo ya Nuklia mkiju kuwa zikilipuliwa jumuia ya kimataifa itapiga kelele. This time kwa kuwa imegeuka kua vita kamili kila chimbo litafyatuliwa tu
 
Hehehe mnavyojibaraguza, huyu huyu Urusi ambaye amehemeshwa kiasi chote hiki, nilikua napitia nyuzi zenu za wakati vita vinaanza halafu nalinganisha na kauli zenu sasa hivi nacheka sana.
 
Hehehe mnavyojibaraguza, huyu huyu Urusi ambaye amehemeshwa kiasi chote hiki, nilikua napitia nyuzi zenu za wakati vita vinaanza halafu nalinganisha na kauli zenu sasa hivi nacheka sana.
Tulia uone moto unavyowaka saivi ndio mapambano yanapamna moto
 
What happened to Germany's Leopard 2 tank in Syria?
Germany’s Leopard 2 Tank in Syria Was Beaten Badly in Battle. Why? Here's what happened. This was shockingly illustrated in December 2016 when evidence emerged that numerous Leopard 2s had been destroyed in intense fighting over ISIS-held Al-Bab—a fight that Turkish military leaders described as a “trauma,” according to Der Spiegel.

Mkuu kama ungesoma makala unayorejea badala ya kichwa chake tu, ungeona Waturuki walipoteza vifaru huko Syria kwa sababu walivitumia vibya. Kazi ya kifaru ni kuharibu vifaru vingine na kuwezesha askari kuvuka mstari wa utetezi katika mwendo wa haraka. Waturuki walitumia vifaru vyao kama mizinga inayorusha grenedi dhidi ya vituo vya jeshi - wakaviacha bila ulinzi. Ukiacha kifaru kikisimama bila wanajeshi wa miguu unamruhusu adui kukikaribia na kukiharibu, kama ni Abrams (jinsi tulivyoona Yemen) au T90 (jinsi warushi walivyoonyesha kwa kupanga vifaru vya kwa foleni walipojaribu kuvamia Kyiv. Vilipokaa bila ulinzi, Waukraine waliweza kuviharibu kwa wingi).
Askari wa Denmark waliotumia Leopard huko Afghanistan kwa namna ya kitaalamu waliridhika nayo kabisa.
 
Yalalamika vikali kwanini Ukraine inapewa madubwana ya kuipiga Urusi.

=========

Russia said on Thursday it saw the promised delivery of Western tanks to Ukraine as evidence of direct and growing U.S. and European involvement in the conflict.

The Kremlin was reacting for the first time to announcements by the United States and Germany on Wednesday that they would arm Ukraine with dozens of battle tanks in its fight against Russia.

"There are constant statements from European capitals and Washington that the sending of various weapons systems to Ukraine, including tanks, in no way signifies the involvement of these countries or the alliance in hostilities in Ukraine," Kremlin spokesman Dmitry Peskov told reporters.

"We categorically disagree with this, and in Moscow, everything that the alliance and the capitals I mentioned are doing is seen as direct involvement in the conflict. We see that this is growing."

U.S. President Joe Biden said the tanks pose "no offensive threat" to Russia and that they were needed to help the Ukrainians "improve their ability to manoeuvre in open terrain".

gazette.com
Huko tunapokwenda Russia tutawasikia wakisema ole wake atakayempa silaha za Nuclear Ukraine nita deal naye
 
Kwaio hawakuwa na uelewa wa namna ya kuvitumia na wakazidiwa maarifa na ISIS
Kwa namna fulani - ndio. Angalau viongozi wa kijeshi wa uturuki walioamuru Leopord kutumika kama mizinga bila ulinzi wa askari wa miguu walifanya kosa. Na ISIS walikuwa na akili ya kutosha kutambua udhaifu huu. -- Vivyo hivyo viongozi wa kijeshi la Urusi walituma foleni za vifaru kwenye barabara penye mlongolo wa magari . . . . .
 
Kupigwa ni timing tu jerea six day war
 
Pescov akiwa amelewa anasema vifaru vitachomwa na wala havitabadili chochote. Pombe zikiisha anasema vifaru hivyo ni silaha hatari na hii ni ishara kuwa washirika wanataka kujiingiza kwenye vita moja kwa moja. Hivi lile biti la Urusi kuhusu nchi yoyote itakayoisaidia Ukraine limeishia wapi?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mjomba alikuwa anatishia USA, NATO na EU Nyau
 
Bado yule mlevi mwingine Medvedev anayetishia nuclear kila siku na makala zake Telegram

Back
Top Bottom