Mtanga90
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 238
- 460
Hakuna silaha itakayokuwa 100% hata iwe na quality vipi?hv kuna tank ilikuwa inasifiwa kama israel's tank merkava lakini zilichomwa km karatasi na hezbollah na hizo abrams zimepgwa sana mfano hyo chini ni abrams ishageuka jivu.Zungumzia basi na Abrams. Kwani na hizo zinapelekwa uwanjani.