Urusi yaanza kulialia kuhusu vifaru anavyopewa Ukraine

Zungumzia basi na Abrams. Kwani na hizo zinapelekwa uwanjani.
Hakuna silaha itakayokuwa 100% hata iwe na quality vipi?hv kuna tank ilikuwa inasifiwa kama israel's tank merkava lakini zilichomwa km karatasi na hezbollah na hizo abrams zimepgwa sana mfano hyo chini ni abrams ishageuka jivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…