Urusi yaanza mazoezi ya kijeshi ya siku kumi na Belarus

Mbona hata Burundi inafanya mazoezi ya kijeshi? Mimi nikajua tayari kavamia Ukraine kumbe bado anajipigiza kichwa Chini kwa hasira ili aogopwe?

Tunasubiri Uvamizi kamili ndio nitakubali kweli Russia hatanii. Lakini akiishia kupiga Push-Up ni mwendelezo wa Mikwara TU.

Hata Marekani alifanya mazoezi ya Kijeshi kwenye Rasi ya Korea ili Kiduku aogope lakini wapi. Tena mazoezi ya Marekani yalichukua miezi 3 yakihusisha AIRCRAFT CARRIER 3 Kwenye Rasi ya Korea lakini hakuvamia na mwisho Pro-Russia mkasema Marekani ni PAPER TIGER.

Sasa nasema hivi!!!

Urusi isipovamia Ukraine awamu hi kwa Mikwara yake ya Mbuzi ya Kurundika wanajeshi laki moja Mpakani Basi kuanzia leo Urusi nayo itakuwa ni PAPER TIGER Kama Marekani tu.
Urusi ilishaweka msimamo wake clear haina mpango kuivamia Ukraine lakini ikijiunga NATO wataivamia sio Ukraine tu nchi yeyote inayopakana na Urusi haipaswi kujiunga NATO.

Hivyo kama ukraine isipojiunga haitopigwa.

Marekani anatafuta soko la gas maana ikitokea vita anafunga bomba la gas ulaya yote inakosa gas. Marekani yeye anasema anaouwezo wa kusupply incase Russia atafunga bomba la gas.

Ulaya hawataki gas yake maana ni ghali kuliko ya Russia na supply logostics za Russia ni stable.

Kwa hiyo USA kwa sasa anatengeneza panic tu na sio vinginevyo. Ukraine wapo tayari kufanya peaxe deal na Urusi lakini upande wa pili wanamshinikiza ikiwa ni pamoja na kuondoa msaada wote wa kijeshi kwa serikali ya Ukraine.
 
Kwahiyo Ukraine ikijiunga na NATO itavamiwa?! Na anayetaka Ukraine ijiunge na NATO ni nani kama sio Ukraine yenyewe?
 
Marekani ndio analazimisha Ukraine ijiunge NATO ili waweze kumdhibiti Rusia.

Kwenye makubaliano ya NATO na Russia yanasema wazi nchi zote zinazoizunguka Russia haziwezi kuwa wanachama wa umoja huo. Sasa kwa sababu USA analazimisha tangu 2014 ukraine waingie NATO. Na marekani inasdikika alikua chanzo cha mapinduzi ya 2014 baada ya aliyekuwa Rais kukataa pemdekezo la Marekani
 
Itoshe TU Mimi nikuite tahira hata Kama MODS wataamua kunipiga Ban. Huu ushabiki unakufanya hata kuongopa kwenye ukweli?

Unasema Russia hataki nchi yoyote ile ambayo wanapakana nayo Iwe Mwanachama wa NATO? Unajiropokea TU bila kujua hata nchi wanachama wa NATO ni akina Nani.

Nchi za LATVIA,LITHUANIA na ESTONIA zote zinapakana na Urusi na ni wanachama wa NATO lakini wewe na umbumbumbu wako huna hiyo taarifa kabisa.
 
itakuwa alimaanisha inchi zilizokuwa USSR
 
washirika wa Urusi hadi kichekesho.. Kampan lake nilatu-nchi twa hovyo hovyo tu kulingananisha na mshindini wake.
Ungekaa kimya tu, kuliko kudharau jambo usilolijua.

Kama USA na NATO wameufyata mkia pamoja na sifa zao zote wanazojitamba kuwa nazo kijeshi, why wanaogopa na kujawa hofu kuihusu Russia& jopo lake la nchi support?

Kuna mengi huwezi yajuwa hususani mambo ya vita hayatabiriki maana hakuna ajuaye adui kajipanga vipi.

Nchi zinazomfuata mrusi ni nyingi sana, na zina siraha nzito za kivita, ni vile tu propaganda zao wamagharibi zimeenea duniani kupitia media zao na social network.

Kama vita ikilindima usishngae hata nchi yako na majirani wakawa upande wa Russia, ili kumkomoa beberu biden na udharimu wa USA& magharibi.

Hakuna anaeitaka vita,
 
Urusi ilishaweka msimamo wake clear haina mpango kuivamia Ukraine lakini ikijiunga NATO wataivamia sio Ukraine tu nchi yeyote inayopakana na Urusi haipaswi kujiunga NATO.

Hivyo kama ukraine isipojiunga haitopigwa.

Marekani anatafuta soko la gas maana ikitokea vita anafunga bomba la gas ulaya yote inakosa gas. Marekani yeye anasema anaouwezo wa kusupply incase Russia atafunga bomba la gas.

Ulaya hawataki gas yake maana ni ghali kuliko ya Russia na supply logostics za Russia ni stable.

Kwa hiyo USA kwa sasa anatengeneza panic tu na sio vinginevyo. Ukraine wapo tayari kufanya peaxe deal na Urusi lakini upande wa pili wanamshinikiza ikiwa ni pamoja na kuondoa msaada wote wa kijeshi kwa serikali ya Ukraine.

Hapa Russia anatakiwa acheze karata zake vema saana, kitu Washington anachotamani saana ni Russia kuvamia Ukrain manake mate yoote yako kwenye Nord Stream 2, sasa Russia ametupiwa mifupa miwil yoote ina sumu mmoja ni wa Ukrain kujiunga Nato ama Pipeline kufungwa na leo naona kapigilia msumari kwamba uvamizi wowote US wako tayari kuujibu kisawa sawa, anatamani sana kuona hii pipeline inafungwa
 
Marekani ndio analazimisha Ukraine ijiunge NATO ili waweze kumdhibiti Rusia.

Kwenye makubaliano ya NATO na Russia yanasema wazi nchi zote zinazoizunguka Russia haziwezi kuwa wanachama wa umoja huo. Sasa kwa sababu USA analazimisha tangu 2014 ukraine waingie NATO. Na marekani inasdikika alikua chanzo cha mapinduzi ya 2014 baada ya aliyekuwa Rais kukataa pemdekezo la Marekani
Lakini, huoni kuwa mwenye maamuzi ya kwanza kabisa ya kujiunga NATO ni Ukraine yenyewe?

Kama umefuatilia, uungwaji mkono wa umma nchini Ukraine juu ya Ukraine kuingia NATO umeongezeka zaidi kutoka mwaka 2014 hadi sasa. Na hili limechagizwa pia na sera za nje za Urusi ambazo zimeonekana kuwa tishio kwa Ukraine na mipaka yake nikitolea mfano, Crimea.

Hata hivyo, je unafahamu kuwa kuna nchi zingine kadhaa ambazo zinapakana na Urusi ambazo tayari ni wanachama wa NATO kwa muda mrefu sasa? Mfano; Estonia na Latvia.

Katika suala la makubaliano; je, kuna uwepo wa mkataba wowote au makubaliano yaliyopo kisheria yanayotoa hakikisho kwamba NATO haitapaswa kupokea wanachama wapya ambao ni nchi zinazoizunguka Urusi?
 
Lakini, huoni kuwa mwenye maamuzi ya kwanza ya kujiunga NATO ni Ukraine yenyewe?

Kama umefuatilia, uungwaji mkono wa umma nchini Ukraine juu ya Ukraine kuingia NATO umeongezeka zaidi kutoka mwaka 2014 hadi sasa. Na hili limechagizwa pia na sera za nje za Urusi ambazo zimeonekana kuwa tishio kwa Ukraine na mipaka yake nikitolea mfano, Crimea.

Hata hivyo, je unafahamu kuwa kuna nchi zingine kadhaa ambazo zinapakana na Urusi ambazo tayari ni wanachama wa NATO kwa muda mrefu sasa? Mfano; Estonia na Latvia.

Katika suala la makubaliano; je, kuna uwepo wa mkataba wowote au makubaliano yaliyopo kisheria yanayotoa hakikisho kwamba NATO haikupaswa kupokea wanachama wapya ambao ni nchi zinazoizunguka Urusi?
Wamejaa ushabiki usiokuwa na maana mpaka wanasahau kuwa Kuna nchi ambazo ni wanachama wa NATO na zinapakana moja kwa moja na Urusi na hazijawahi kuwa tishio kwa uslama wa Urusi tangu miaka ya 1999

Nchi Kama LATVIA,ESTONIA na LITHUANIA ni wanachama wa NATO na zote kwa pamoja zinapakana na Urusi. Na nchi Hizo hazijawahi kutishia Usalama wa Urusi Kama Putin anavyodai. Putin ana ajenda zake za kuendelea kujimegea nchi wachovu jirani zake Kama Belarus,Ukraine na Georgia ndio maana hataki zijiunge na NATO.

Ubabe wa Russia utazivuta nchi Nyingi kutaka kujiunga na NATO hasa zile zinazopakana na Urusi. Nchi Kama Denmark,Norway na Finland zilishaanza kuogopa kwamba huenda siku moja Urusi akazimega. Sasa hakikisho pekee la Usalama wao ni kujiunga na NATO.

Nchi ndogo ya NORTH MACEDONIA imejiunga na NATO hivi Karibuni mwaka 2020 lakini watu hawana habari. NATO wakibadili katiba ambayo inahusu tu nchi za Ulaya kujiunga,wakiruhusu na nchi zingine kujiunga Basi Kuna nchi Nyingi hasa Mashariki ya Kati ambazo ziko tayari kujiunga. Pia Taiwan naona ikijiunga faster ili kukimbia kitisho Cha China.
 
uache kuropoka TAIWAN sio nchi
 
Ili umpige Russia lzm uchukue eneo Ukraine kwasasabu ukraine imepakana sana na mji mkuu wa russia
 
Back
Top Bottom