Urusi yaanza mazoezi ya kijeshi ya siku kumi na Belarus

uache kuropoka TAIWAN sio nchi
Wewe ndio Mpumbavu. Kama sio nchi ni Nini? Ulishawahi kuona Taiwani wakimchagua kiongozi yeyote wa China? China ina Wabunge 3,182 Kati ya hao unaweza kuniambia Mbunge anayeiwakilisha Taiwani Kama ilivyo kwa Hong Kong na Macau? Kwasababu ya ushabiki umekuwa Zezeta.
 
Kwahiyo Ukraine ikijiunga na NATO itavamiwa?! Na anayetaka Ukraine ijiunge na NATO ni nani kama sio Ukraine yenyewe?
Mkuu hebu nipe maelezo Yako wewe ni kwa Nini tunaambiwa Urusi itaivamia Ukraine?
Je Urusi wataivamia bila sababu.
Maana Mimi nijuavyo ni kama alivyosema huyo jamaa uliemquote.
Kwamba Urusi hataki Ukraine iingie NATO.
Na moha ya mambo ambayo Putin kawaambia Usa ni pamoja na la Ukraine kujiunga NATo na hawajamjibu.
Sasa tunaonba wewe utupe sababu zako za Urusi kutaka kuivamia Ukraine.
 
Kuna hoja nimeiona humu mara kadhaa kwamba, Ukraine ikijiunga NATO, itavamiwa na Urusi.

Sasa, mimi nimekwisha hoji humu mahali kwamba; endapo Ukraine itajiunga NATO, itapelekea NATO kupata upenyo zaidi wa kuilinda Ukraine kwa kutumia Article 5 ya Mkataba wa Washington (North Atlantic Treaty).

Maana yake ni kwamba, uvamizi wowote wa kijeshi dhidi ya Ukraine, utahesabika kama uvamizi dhidi ya NATO (collective defence). Hivyo NATO kama jumuiya ya kujihami italazimika kuilinda Ukraine kijeshi.

Katika mazingira kama hayo, lipi ni jambo rahisi na lenye nafuu zaidi kwa anayetaka kuivamia Ukraine?

1) Kuivamia Ukraine mapema kabla haijaingia NATO ukiwa ni mpango wa kubadilisha utawala uliopo na kuweka vibaraka?

Au,

2) Kuisubiri Ukraine ijiunge NATO ndipo uvamizi ufanyike, kitu ambacho kitaipa NATO fursa ya kuingilia kati kwa kuitisha Article 5 ya Mkataba wa Washington?
 
Acha waingie wote ...........mwisho wa siku paeleweke
 
Ukitaka kujua chanzo cha mgogoro wote anzia walau 2008 utaona sababu ni nini

Pili chunguza pia nini kiliipata meli mpya na ya kisasa ya Marekani na tukio hilo linatishia vipi usalama wa marekani

Pia tambua Ukrain ndio njia kuu ya mafuta na gas kutoka Russia kwemda western countries.

Russia kiuchumi hamfikii marekani wala china lakini kwa Marekani Urusi ni hatari kijeshi kuliko China pamoja na kwamba china inauchumi mkubwa.
 

Sasa kwanini umuite tahira kwanini usingemjibu kwa staha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…