Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

Urussi anatakaje kuiangamiza dunia?kwani US ilipoipiga makombora ya atomic Japan dunia iliangamia?
 
Mkuu,nasikia Marekani huwa inafanya uchochezi kama ina 'interests' na nchi fulani, sasa sijajua Taiwan na China ana 'interests' gani hapo??? nielimishe tafadhali...?..pili kwa faida yangu na wale wengine waliokuwa hawafuatilii hii vita..Mrusi anatetea usalama wake kwa kuipiga Marekani??? huoni hii inataharisha usalama wa dunia?, as kama ulivyosema Marekani ina washirika wake... huoni akiipiga Marekani, inamaanisha Marekani na washirika wake watataka kuipiga Urusi? na mimi sijui kama washirika wa Marekani nao hawana hayo Manyuklia yao..mweehh?...
 
Very sad, Marekani kuipiga Iraq kwa kuituhumu ina ' weapons of mass destruction'' wakati kuna kina Putin, nao walikosea...hivi hio Nyuklia si ndio hio hio.. weapon of mass destruction au?!.. msinicheke eti, najifunza kutoka kwenu...
US Walienda kuiba tu Gold reserves za Iraq huku wakileta porojo za WMD.
 
This is sad, sikujua before Russia wana silaha za Nyuklia, kumbe walikua wana wasema North Korea tu buree...inaelekea labda nchi nyingi zina hizo silaha za Nyuklia...yakifumuka ya kufumuka huko tobaaaa...
Marekani mwenyewe anazo,
Wakati huo huo anakemea wenzake wasiwe nazo

Nilichogundua:
ukiwa na nyuklia, huonewi kijinga jinga, hata Ukraine angekua na nyuklia. Urusi asingetia maguu
 
Mnhhhhh, kwa hio Marekani nayo ina silaha za Nyuklia?!... tobaaa!....kwa kweli hii vita itaibua mengi, labda na Tanzania nayo tuna ka mtambo ketu ka Nyuklia... 😀 😀✌️✌️...

You are missing the point mkuu, balance of power kwa kutu wipe us all...?? no way...

Ni kweli, Marekani ina makando kando yake, labda ilikuwa super power, na kunahitajika balance ila hatari waliyofanya marekani Russia itakua zaidi kwa dunia, which is bad, having saying this sibariki mauaji yaliyofanywa na Marekani before, ila still tunapumua , sio kama Mrusi anavyofanya tupatwe na kiwewe cha kuhofia pumzi zetu wote humu duniani...
 
Ha ha ha ..wee jamaa muoga Sana
Eti "Sijui Putin ndio devil mwenyewe?"[emoji28]
 
Marekani kwanza na yeye aziangamize silaha zake za nyuklia,

Sio fair ulalamike wenzako Wana nyuklia, wkt wewe mwnyw unazo za kwako kibao umezificha.
 
Sababu za marekani kuchochea ch
Sababu ya USA kuchochea china vs taiwan ni sababu za kiuchumi USA anataka china iingie kwenye mgogoro na taiwan kitu ambacho kitanaweza kuathiri uchumi wa china kwa wakati kama huu china ikiwa kwenye harakati za kupanua uchumi wake pia ziko sababu kadhaa na kadhaa USA kuchochea kwa upande wa urusi hana tatizo na USA ila USA aliihatarisha usalama wa urusi pale alipotaka kuinganisha ukraine na NATO kitu ambacho ni tishio kwa urusi kwani NATO wangeenda kambi yao ya kijeshi mpakani kwa ukraine na urusi kitu ambacho hatari kwa urusi ni sawa na adui kukufata mpaka chumbani urusi iliionya ukraine iache mara moja mpango wa kujiunga na nato lakini ukraine kwa kiburi na majivuno akakaidi hapo ndio mwanzo wa vita hiyo ni kwa ufupi tu ila zipo sababu nyingi ambazo zimechangia hii vita sema USA yeye kamdomo ndo kanamponza kuingia yasio muhusu ukraine na urusi ni habari ndefu ilianzia pale umoja wa kisoviet ulipoagawanyika
 
Sababu za marekani kuchochea ch
Sababu ya USA kuchochea china vs taiwan ni sababu za kiuchumi USA anataka china iingie kwenye mgogoro na taiwan kitu ambacho kitanaweza kuathiri uchumi wa china kwa wakati kama huu china ikiwa kwenye harakati za kupanua uchumi wake pia ziko sababu kadhaa na kadhaa USA kuchochea kwa upande wa urusi hana tatizo na USA ila USA aliihatarisha usalama wa urusi pale alipotaka kuinganisha ukraine na NATO kitu ambacho ni tishio kwa urusi kwani NATO wangeenda kambi yao ya kijeshi mpakani kwa ukraine na urusi kitu ambacho hatari kwa urusi ni sawa na adui kukufata mpaka chumbani urusi iliionya ukraine iache mara moja mpango wa kujiunga na nato lakini ukraine kwa kiburi na majivuno akakaidi hapo ndio mwanzo wa vita hiyo ni kwa ufupi tu ila zipo sababu nyingi ambazo zimechangia hii vita sema USA yeye kamdomo ndo kanamponza kuingia yasio muhusu ukraine na urusi ni habari ndefu ilianzia pale umoja wa kisoviet ulipoagawanyika
 
Very sad, Marekani kuipiga Iraq kwa kuituhumu ina ' weapons of mass destruction'' wakati kuna kina Putin, nao walikosea...hivi hio Nyuklia si ndio hio hio.. weapon of mass destruction au?!.. msinicheke eti, najifunza kutoka kwenu...
Yeye mwnyw USA hizo nyuklia mbona anazo
 
Very sad, Marekani kuipiga Iraq kwa kuituhumu ina ' weapons of mass destruction'' wakati kuna kina Putin, nao walikosea...hivi hio Nyuklia si ndio hio hio.. weapon of mass destruction au?!.. msinicheke eti, najifunza kutoka kwenu...
WMD zipo za aina nyingi sana lakini mojawapo ni nuclear weapons na zingine ni kama biological weapons and so on.
Lakini silaha za nyuklia ni hatar zaidi na athari zake ni za muda mrefu
 
Ina hukufahamu kuhusu mabomu hatari anayomiliki USA?!! Hujawahi kusoma ama kuona ubaya wa bomu la Marekani kule Japan-Hiroshima?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…