Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

Umeelewa swali lkn?Nimeuliza bomb Hilo likipigwa Ukraine Ni madhara gani Tz itayapata?
Kama vita inspiganwa huko lakini Tz kila kitu kimepanda na huko hakuna total ban ya exports ya bidhaa je bomu likipigwa kusiwe kuna utoaji wa bidhaa huko Tanzania itakuwaje. Huu ndo wajati wa Tz kuuza ndege zake na kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji maana vita ikishakolea tutaziweka packing na hakutakuwa na wakuzinunua maisha yatakuwa magumu zidi ya hapa maana mwaka huu hakuna mavuno yakutosha
 
Ikitokea vya nyukilia itakuwa fursa kubwa kwa waafrika kuwa superpower, tutakuwa tunawadhibiti kuja Africa na kuwatoza pwsa nying kwa visa, watatutegemea chakula kwa muda mrefu.i
Hivi unaijua nyuklia kweli wewe au unaijua WW3 kweli wewe 😃 au unaanza kujipa faida za kua super power bila kujua ikipigwa WW3 dunia nzima lazima iingize majeshi vitani sio wewe wala sio kenya mfano RUSSIA ana kombora la SATAN I NA SATAN II haya tu yanatosha ukigeuza TZ vumbi ikipigwa vita ya dunia au ikitumia kunyuklia ni sawa na kusema ndio mwisho wa kuishi kwa viumbe hai katika hii dunia ila inategemea itatumika kwa kiasi kipi ndo maana kila mtu hataki vita ya nuclear wewe tayari unawaza kuwa super power 😁
 
Na unajua 70% ya mbolea tunayotumia hapa Tz inatoka Russia sio?
 
Unajua tofauti ya Tactical vs Strategic nuclear weapons?
 
This is sad, sikujua before Russia wana silaha za Nyuklia, kumbe walikua wana wasema North Korea tu buree...inaelekea labda nchi nyingi zina hizo silaha za Nyuklia...yakifumuka ya kufumuka huko tobaaaa...
Inanesha sio mfwatiliaji wa historia. Duniani ni nchi mbili tu zenye hifadhi kubwa ya silaha za nuklia nazo ni Urusi na Marekani. Labda kidogo na china ila Hao wengine share yao ni ndogo!
 
Hamna kitu kama hcho boss , hzo ni imagination tuu , yeye kama anatumia atumie tuu , na maisha yataendelea, mda wote wenzake walikuwa wanajipanga namna ya kudhibiti hzo nyuklia endapo atazitumia, ndo mana sa hv wamemwacha hata akitumia fresh tuu
Then watamtandika kama Hitler alivyotandikwa.
 
Basi nakushauri kuanzia leo ebu jipe muda walau kidogo wa kudodosa kuhusu siasa za mataifa makubwa si unajuwa hawa ndo wana ongoza dunia.
Kwa nchi zinazomliki
Nakushauri kuanzia leo yaani hapa anza kufuatilia siasa za mataifa makubwa si unajuwa hawa ndo wanaofanya maamuzi ya dunia.
Katika nchi zinazomiliki silaha za nyuklia nchi nyingi ni washirika wa Marekani na zilizobaki zipo nyutro na zingine chache zipo upande wa urusi.
Lakini bado si chochote kile kwa sababu hizo nchi arsenal zao ni kidogo sana compered na Russia.Lakini tunapo angalia nyuklia huwa tuna angalia vitu vingi kama vile uwezo wake(payload),deliver system na Speed ya ku hit target.Kwa mambo hayo Marekani na Urusi wamewaacha mbali sana tena sana hao waliobaki.
Note.Urusi ana miliki hypersonic missile ambayo can carry nyuklia weapons
 
Kama angekuwa na mfumo imara wa anga, asingepiga kelele. kwasababu silaha alizopatiwa Ukraine haziwezi kufua dafu kwenye mifumo yake.
 
Kama angekuwa na mfumo imara wa anga, asingepiga kelele. kwasababu silaha alizopatiwa Ukraine haziwezi kufua dafu kwenye mifumo yake.
Rudia ule mstari wa mwana FA "Hata mchawi anafiwa atakiwa kiboko kiasi gani kuna mahali atazidiwa" Sio ukiwa imara utaweza kuzuia yote na atakama unaweza kuzuia yote siku zote vita ni tahadhari ni lazima umuheshimu adui hata kama ni dhaifu huwezi jua yajayo ila tahadhari ni muhimu
 
Wapigane ulaya na marekani Mimi nahusika vipi, ww1 na 2 mataifa ya afrika yalikuwa yanatawaliwa ndio maana mababu zetu walilazimishwa kupigana lakini ww3 no nchi yenyewe itakayoamua kupigana na sio kulazimishwa kwa kifupi naombea sana wapigane tuanze kuwapokea kama wakimbizi
kuwa 😁
 
Dunia inamuhitaji Urusi? How? Kwa lipi?
 
Condom ya sh. 300 tu ingetumika tusingepata madhara Kama haya hapa JF.

Budget ya ulinzi ya Russia kwa 2021 Ni $66bil,Ila kwa Sababu mtu ameamua kutumia kichwa kufugia nywele ndio basi tena.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]$66b wenzake wako kwa$700b na hawaringi[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…