Uko sawa na hapa saula siyo kwamba nani ni mzuri ama nani ni mbaya kikubwa ni je Africa sisi kama sisi tunaweza kujisimamia ? hakuna mwizi wenye afadhali wote ni wezi tu urusi kwa historia ya africa alifanya mazuri lakin ni huko nyuma Sasa ivi Dunia imebadilika kila mtu anataka maslahi yake, halafu kwenye masula ya hoja mambo ya upinde yanatoka wapi mkuu? Africa Suala la ushoga sio hata kipaumbele chetu maana tuna Mila na desturi zetu pia tuna shida nyingi na matizo mengi ya kuyafanyia kazi, Siko upande wa ulaya wala america wala urusi kikubwa inatakiwa sisi waafrica ndo tuamke kutoka kwenye huo utumwa wao, Leo ulaya kesho marekani, urusi na china baada ya hapo sisi tutakuwa wapi??