Urusi yaikalia Ufaransa kooni Afrika Magharibi

Urusi yaikalia Ufaransa kooni Afrika Magharibi

Afadhali Mrusi analeta amani na ananunua dhahabu..wamagharibi wanapora na kuanzisha Vita vinavyoua watu wengi sana..watu wa upinde bana na kuwatetea mabwana zao 🚮
Uko sawa na hapa saula siyo kwamba nani ni mzuri ama nani ni mbaya kikubwa ni je Africa sisi kama sisi tunaweza kujisimamia ? hakuna mwizi wenye afadhali wote ni wezi tu urusi kwa historia ya africa alifanya mazuri lakin ni huko nyuma Sasa ivi Dunia imebadilika kila mtu anataka maslahi yake, halafu kwenye masula ya hoja mambo ya upinde yanatoka wapi mkuu? Africa Suala la ushoga sio hata kipaumbele chetu maana tuna Mila na desturi zetu pia tuna shida nyingi na matizo mengi ya kuyafanyia kazi, Siko upande wa ulaya wala america wala urusi kikubwa inatakiwa sisi waafrica ndo tuamke kutoka kwenye huo utumwa wao, Leo ulaya kesho marekani, urusi na china baada ya hapo sisi tutakuwa wapi??
 
Uko sahihi mkuu. Tatizo uongozi hauna dira, Hakuna utekelezaji wa mikakati ya muda mrefu na mifupi. Viongozi wanafanya mambo kwa sifa
 
Wewe kwenye nchi yako isio yakisoshalist mmeizidi nini RUSSIA

DEMOKRASIA yenu hii mnayoiabudu nimfumo wautawala wahovyo kabisa kuwahi kushuhudiwa hapa DUNIANI

RUSSIA kamatia hapo hapo tunajua sio kwamba unaipenda saaana hio AFRIKA yetu ila wacha tu tujaribu ladha ya mkoloni mpya tuone itakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati nilidhani unajielewa vizuri kumbe chenga, tafuta Katiba ujikumbushe Tanzania ni nchi ya kisoshalisti.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Bora waache kabisa wasipunguze

Mutategemea kupewa mpaka lini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hapa kipindi cha MEKO walipopunguza misaada kuna mbinu mbadala ilitafutwa zaidi ya hali kuwa ngumu zaidi kwa wananchi?!!si ndio chanzo hata cha condom za 500 kupotea kabisa mtaani hadi leo ni kuanzia buku.Afrika tuna laana ya kutojitambua kuanzia kwa wananchi na ndio maana watawala wanafanya hivyo .
 
Huko kupenda misaada ndio kujitambua

Kheri kondom iuzwe hata million kwanza sio jambo lamaana kusema utakufa ukilikosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kupenda misaada ndio kujitambua

Kheri kondom iuzwe hata million kwanza sio jambo lamaana kusema utakufa ukilikosa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo nimekupa mfano tu waulize wanaotumia ARV'S kitu gani walikuwa wameambiwa baada ya USA kuhofiwa kutaka kujitoa kitoa msaada!!hiyo gharama ya kila mgonjwa ya dola 200 kila mwezi ni wa ngapi wangeweza? Suala la kutotegemea misaada sio suala la muda mfupi kama MWENDA ZAKE alivyokuwq anataka kuwaaminisha watu.Mali asili zote mmeshauza hapo pesa itatoka wapi ?
 
Kwani hapa kipindi cha MEKO walipopunguza misaada kuna mbinu mbadala ilitafutwa zaidi ya hali kuwa ngumu zaidi kwa wananchi?!!si ndio chanzo hata cha condom za 500 kupotea kabisa mtaani hadi leo ni kuanzia buku.Afrika tuna laana ya kutojitambua kuanzia kwa wananchi na ndio maana watawala wanafanya hivyo .
Samahani mkuu hivi saivi hali ni nzuri et, pesa ni nyingi sana.
 
Kitu gani cha faida urusi alishawahi kuifanyia africa tangu dunia ianze. na kwa waliofika urusi au kuishi nchi za eastern europe, wataelewa ninachoongea, kwa asili tu watu wa huko ni wabaguzi mno kwa waafrica. ni kweli wamagaribi ni wajinga na ni mafirauni/mapunga lakini kwa upande mwingine wameifaidisha kwa kiasi fulani africa kuliko hata urusi. urusi anakuja africa kwasababu tu anahitaji kulipiza visasi kwa wamagaribi, isingekuwa hivyo asingekuja.
Unaweza ukataja uhuru wa Nchi za kusini mwa jangwa la Sahara bila ya kutaja Urusi?
 
Huo nimekupa mfano tu waulize wanaotumia ARV'S kitu gani walikuwa wameambiwa baada ya USA kuhofiwa kutaka kujitoa kitoa msaada!!hiyo gharama ya kila mgonjwa ya dola 200 kila mwezi ni wa ngapi wangeweza? Suala la kutotegemea misaada sio suala la muda mfupi kama MWENDA ZAKE alivyokuwq anataka kuwaaminisha watu.Mali asili zote mmeshauza hapo pesa itatoka wapi ?
Hao wanaowapa ARVS ndio wamewaletea na ngoma ili wawaue vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda hata ungesema USSR
Vita vyote vya kumtoa mkoloni Africa ili nchi iwe huru mrusi ameshiriki, kuanzia Algeria, Angola, South Africa, Zimbabwe nk.. ulitaka wakufanyie nini? Wakupikie ugali?
 
Ufaransa ni gaidi mkubwa duniani. Kila alipoweka kambi matatizo hayaishi na yeye ndio anawafadhili wapinzani au magaidi kwa maslahi yake.
Hakuna nchi yoyote duniani anayoipenda Afrika. Baada ya Urusi kumuona ufaransa anaiba mali ameamua ajimilikishe mrusi kwa kigezo cha kulinda amani. Kumbuka kwenye suala la kiuchumi Urusi ipo 0 kwahiyo huu ni mkakati wake wa kujijenga kiuchumi.
Wewe ulipo tu hujawahi hata kumsaidia mgonjwa hospitali baada ya kushindwa kulipa hela ya matibabu halafu Putin aandae jeshi la kulinda bure? Anatupenda sana?
Hao ni wezi ni suala la muda. Madini, wanyama n.k vitaanza kupelekwa URUSI.
 
Mataifa ya magharibi ni maovu mno,ila maovu no1 ni Marekani 🤔
Siyo nchi za magharibi tu karibia nchi zote duniani ni waovu sana. Si china wala urusi tena safari hii Afrika ndiyo tutabakishiwa magofu.
Urusi na China n.k wamejipanga vizuri kuiba mali zetu. Suala la muda tu
 
Back
Top Bottom