Urusi yaionya Israel isithubutu kugusa nyuklia site ya Iran

Urusi yaionya Israel isithubutu kugusa nyuklia site ya Iran

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Urusi imerudia kutoa onyo kwa Israel isithubutu kushambulia nuclear facilities ya Iran ⚡️BREAKING

Russia warned Israel against striking Iranian nuclear facilities

We have repeatedly warned and will continue to warn Israel against even hypothetically considering the possibility of a strike on Iran’s nuclear facilities - Ryabkov

IMG_20241017_184555.jpg
 
Russia naye ni mpumbavu tupu!

Anashindwa kuwalinda viongozi wanaouliwa na IDF, badala yake anataka alinde mitambo ya nyukilia?

Huu si ndo upumbavu sasa
wale viongozi wanauliwa kwasababu ya vibaraka wa Israel kuwepo Iran na lebanon kwaiyo kinachowacost hao jamaa ni usaliti
 
Putin amezungukwa na wayahudi, anaongea sasa upuuzi, ila sasa hivi hakai hata kwake, anahama hama..!! Putin katika hatari kubwa aliyo nayo ni kuweka uadui na wayahudi
 
Russia naye ni mpumbavu tupu!

Anashindwa kuwalinda viongozi wanaouliwa na IDF, badala yake anataka alinde mitambo ya nyukilia?

Huu si ndo upumbavu sasa
Unaelewa maana ya "mtambo wa nyuklia" lakini?
 
Putin amezungukwa na wayahudi, anaongea sasa upuuzi, ila sasa hivi hakai hata kwake, anahama hama..!! Putin katika hatari kubwa aliyo nayo ni kuweka uadui na wayahudi
Hawa wayahudi wana mapandikizi hata USA tena wamejaa sana na wanapeleka siri kila leo
Hata habari ya kuwapa siku 30 kama hawajaruhusu misaada basi watapunguza sana kuwapa silaha
Hizi habari zili leak kabla na aliyesema ni mwandishi wa habari myahudi/ mmarekani

Unamkumbuka Jeffrey Epstein? Aliejiuwa 2019 jela huko marekani
Alikuwa ni billionaire ambae hata elimu kubwa hana ila alikuwa anakutana na watu wakubwa wakubwa wakiwamo marais mpaka royal family wa uingereza
Alikuwa anawapelekea mpaka visichana na alikuwa mbaya hasa
Huyu ndio aliemtegea Rais Clinton kwa Monica ambae nae alikuwa myahudi ili amtoe siri zote
Jamaa karekodiwa masaa 30 kwa ule mda.
Wacha tulione hili game
 
Urusi imerudia kutoa onyo kwa Israel isithubutu kushambulia nuclear facilities ya Iran [emoji298]️BREAKING

Russia warned Israel against striking Iranian nuclear facilities

We have repeatedly warned and will continue to warn Israel against even hypothetically considering the possibility of a strike on Iran’s nuclear facilities - Ryabkov

View attachment 3127929
Kwani Putin ndio nani
 
Back
Top Bottom