Urusi yaionya Israel isithubutu kugusa nyuklia site ya Iran

Urusi yaionya Israel isithubutu kugusa nyuklia site ya Iran

Linapokuja suala la Israel inaniwia ngumu kumuamini sana Russia. Huyu Russia ana unafiki fulani hivi wa kuwaaminisha waarabu hasa Iran kuwa hayupo na Israel lakini kiuhalisia wana mikataba mingi ya siri. Na si ajabu hawa huwa wana share taarifa za kijasusi.
Umeandika jambo kubwa sana.
 
Back
Top Bottom