green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
wale viongozi wanauliwa kwasababu ya vibaraka wa Israel kuwepo Iran na lebanon kwaiyo kinachowacost hao jamaa ni usalitiRussia naye ni mpumbavu tupu!
Anashindwa kuwalinda viongozi wanaouliwa na IDF, badala yake anataka alinde mitambo ya nyukilia?
Huu si ndo upumbavu sasa
Unaichambua urusi ukiwa Tanzania pande za wapi?Linapokuja suala la Israel inaniwia ngumu kumuamini sana Russia. Huyu Russia ana unafiki fulani hivi wa kuwaaminisha waarabu hasa Iran kuwa hayupo na Israel lakini kiuhalisia wana mikataba mingi ya siri. Na si ajabu hawa huwa wana share taarifa za kijasusi.
NAHISI YUPO ITUHA, MBEYAUnaichambua urusi ukiwa Tanzania pande za wapi?
Ona huyu jamaa wa mchambawima anavyoongea.Russia naye ni mpumbavu tupu!
Anashindwa kuwalinda viongozi wanaouliwa na IDF, badala yake anataka alinde mitambo ya nyukilia?
Huu si ndo upumbavu sasa
Askari wa North Korea ndio wapo Ukraine wakiisadia Urusi.Nimeona jamaa anapeleka askari kiboa huko North Korea.
MCHAMBUZI WA MASUALA YA VITA KUTOKEA NAMANYELE, SUMBAWANGAPutin amezungukwa na wayahudi, anaongea sasa upuuzi, ila sasa hivi hakai hata kwake, anahama hama..!! Putin katika hatari kubwa aliyo nayo ni kuweka uadui na wayahudi
Kabla ya hapo alikua tinde,akahamia Iselamagazi kabla ya kuja kizumbi.MCHAMBUZI WA MASUALA YA VITA KUTOKEA NAMANYELE, SUMBAWANGA
Unaelewa maana ya "mtambo wa nyuklia" lakini?Russia naye ni mpumbavu tupu!
Anashindwa kuwalinda viongozi wanaouliwa na IDF, badala yake anataka alinde mitambo ya nyukilia?
Huu si ndo upumbavu sasa
Hawa wayahudi wana mapandikizi hata USA tena wamejaa sana na wanapeleka siri kila leoPutin amezungukwa na wayahudi, anaongea sasa upuuzi, ila sasa hivi hakai hata kwake, anahama hama..!! Putin katika hatari kubwa aliyo nayo ni kuweka uadui na wayahudi
Kwani Putin ndio naniUrusi imerudia kutoa onyo kwa Israel isithubutu kushambulia nuclear facilities ya Iran [emoji298]️BREAKING
Russia warned Israel against striking Iranian nuclear facilities
We have repeatedly warned and will continue to warn Israel against even hypothetically considering the possibility of a strike on Iran’s nuclear facilities - Ryabkov
View attachment 3127929