Urusi yaionya Marekani dhidi ya shambulizi lolote kwa Iran

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,509
Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambapo Urusi amesema kitendo cha marekani kuishambulia Iran kitakua na matokea mabaya sana.

Wachambuzi wa siasa za kimataifa mje hapa Kila mmoja Atoe mtazamo wake kuhusu Hali inayoendelea kwa sasa baina ya marekani na Iran.
Je Urusi anaweza kuungana na Iran kujibu mapigo iwapo marekani ataanzisha mashambulizi dhidi ya Iran? Mapema mwezi Januari Iran na Urusi walisaini mkataba wa kimkakati wa zaidi ya miaka 20 katika masuala mbalimbali ikiwemo ya kijeshi ,ulinzi na usalama.
Karibuni.
Screenshot_20250401-162156_1.jpg
 
Iran ikae kwa kutulia isiitegemee sana urusi inaweza ikaingizwa chaka na ikadundwa vema tu
Iran haijakaa kinyonge .Urusi inachoweza kuongeza kwa Iran ni silaha tu ambazo zitaleta madhara makubwa kwa Marekani hasa hao vibaraka wake warabu wa hapo middle east. Yale masinia ya biriyani na ngamia waliyozoea wataanza kuyaona kama kituo cha Polisi.😂
 
Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambapo Urusi amesema kitendo cha marekani kuishambulia Iran kitakua na matokea mabaya sana.

Wachambuzi wa siasa za kimataifa mje hapa Kila mmoja Atoe mtazamo wake kuhusu Hali inayoendelea kwa sasa baina ya marekani na Iran.
Je Urusi anaweza kuungana na Iran kujibu mapigo iwapo marekani ataanzisha mashambulizi dhidi ya Iran? Mapema mwezi Januari Iran na Urusi walisaini mkataba wa kimkakati wa zaidi ya miaka 20 katika masuala mbalimbali ikiwemo ya kijeshi ,ulinzi na usalama.
Karibuni.View attachment 3289956
Mikwara bubu
 
😅😅😅
 
Je ina maana marekan ana taka kuishambulia Iran?

Iran mbona naiona toka ishambuliwe na Israel imekuwa kimiya sana , sasa huu uchokozi wa marekan ni wa nini tena

Echolima1 mnyama and 100 others gTurn Hammaz dudus
Iran haijakaa kimya inasubiri wakati sahihi wa kulipa kisasi.hara hivyo shambulizi la kulipa kisasibla marekani na Israeli lilikua la kinyonge sana pamoja na ndege vita zaidi ya 100 hazikuweza kuleta madhara makubwa hivyo kwa Iran hiyo haikumpa tabu sana kuwa na kiherehere cha kujibu mapigo.kwa kifupi ameshaujua uwezo wake na uwezo wa maadui zake.

Umeuliza kwanini marekani anataka kuishambulia Iran jibu ni kwamba Israel ana wasiwasi kuwa Iran anatengeneza bomu la nuclear ( na huwenda tayari analo) kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha urutibishaji wa madini ya uraniam ambayo inatosha kutengeneza bomu hilo. Kwahiyo ili Israel asikae kwa hofu ni lazima ahakikishe Iran Hana bomu la nuclear.
 
Kama usa anapenda huo utawala wake uendelee akae mbali na iran ila kama anataka kuchora raman mpya ya mshariki ya kati basi apigane hivyo vita . Hivi sio vita anavyoweza kushinda usa hata kidogo na uchumi wa dunia utacollapse kiasi ambacho hakijawahi kutokea kwa miaka huko nyuma
 
Arabs in war are like the Vietnamese—they never perish, no matter how many you kill; they sprout like grass.
 
Iran haijakaa kimya inasubiri wakati sahihi wa kulipa kisasi.hara hivyo shambulizi la kulipa kisasibla marekani na Israeli lilikua la kinyonge sana pamoja na ndege vita zaidi ya 100 hazikuweza kuleta madhara makubwa hivyo kwa Iran hiyo haikumpa tabu sana kuwa na kiherehere cha kujibu mapigo.kwa kifupi ameshaujua uwezo wake na uwezo wa maadui zake.

Umeuliza kwanini marekani anataka kuishambulia Iran jibu ni kwamba Israel ana wasiwasi kuwa Iran anatengeneza bomu la nuclear ( na huwenda tayari analo) kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha urutibishaji wa madini ya uraniam ambayo inatosha kutengeneza bomu hilo. Kwahiyo ili Israel asikae kwa hofu ni lazima ahakikishe Iran Hana bomu la nuclear.
Wewe kwa mujibu wa uchambuzi wako inaonekana ni mtu wa masjid ubwabwa na vijiwe vya tangawizi na kashata. Hakuna unachokifahamu tofauti na kukaririshwa tu kama imani ya dini.
 
Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambapo Urusi amesema kitendo cha marekani kuishambulia Iran kitakua na matokea mabaya sana.

Wachambuzi wa siasa za kimataifa mje hapa Kila mmoja Atoe mtazamo wake kuhusu Hali inayoendelea kwa sasa baina ya marekani na Iran.
Je Urusi anaweza kuungana na Iran kujibu mapigo iwapo marekani ataanzisha mashambulizi dhidi ya Iran? Mapema mwezi Januari Iran na Urusi walisaini mkataba wa kimkakati wa zaidi ya miaka 20 katika masuala mbalimbali ikiwemo ya kijeshi ,ulinzi na usalama.
Karibuni.View attachment 3289956
Naona itatokea vita ya tatu ya dunia ndipo dunia itastabilize.
Marekani naye hana tofauti ya na urusi wala china ila wenzake wanaogopa kusema.
Anachotaka kufanya greenland ni ubabe
 
Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambapo Urusi amesema kitendo cha marekani kuishambulia Iran kitakua na matokea mabaya sana.

Wachambuzi wa siasa za kimataifa mje hapa Kila mmoja Atoe mtazamo wake kuhusu Hali inayoendelea kwa sasa baina ya marekani na Iran.
Je Urusi anaweza kuungana na Iran kujibu mapigo iwapo marekani ataanzisha mashambulizi dhidi ya Iran? Mapema mwezi Januari Iran na Urusi walisaini mkataba wa kimkakati wa zaidi ya miaka 20 katika masuala mbalimbali ikiwemo ya kijeshi ,ulinzi na usalama.
Karibuni.View attachment 3289956
Maonyo ya urusi dhidi ya marekani ni mengi toka enzi za sadam hussein
 
Wote wazembe mikwara tupu mbwa hao.
U.S alichemka kwa Wataleban na Vetnam.
Urusi alichemka kwa wataleban na Ukreine.
US akuna vita aliwai kushinda akiwa peke yake.
 
Kama usa anapenda huo utawala wake uendelee akae mbali na iran ila kama anataka kuchora raman mpya ya mshariki ya kati basi apigane hivyo vita . Hivi sio vita anavyoweza kushinda usa hata kidogo na uchumi wa dunia utacollapse kiasi ambacho hakijawahi kutokea kwa miaka huko nyuma
Mkuu itakuwa zaid ya Great Depression,
Makosa haya kamwe hayawezi kuruhusiwa..El gringo anarusha kete ya kuwaleta kwenye New Nuclear Deal baada ya kufanya uzembe wa kukancel iliyokuepo.....
Hakuna makosa makubwa yatakayoigarimu dunia km bomb la kwanza kuangushwa Iran..
 
I
Iran haijakaa kimya inasubiri wakati sahihi wa kulipa kisasi.hara hivyo shambulizi la kulipa kisasibla marekani na Israeli lilikua la kinyonge sana pamoja na ndege vita zaidi ya 100 hazikuweza kuleta madhara makubwa hivyo kwa Iran hiyo haikumpa tabu sana kuwa na kiherehere cha kujibu mapigo.kwa kifupi ameshaujua uwezo wake na uwezo wa maadui zake.

Umeuliza kwanini marekani anataka kuishambulia Iran jibu ni kwamba Israel ana wasiwasi kuwa Iran anatengeneza bomu la nuclear ( na huwenda tayari analo) kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha urutibishaji wa madini ya uraniam ambayo inatosha kutengeneza bomu hilo. Kwahiyo ili Israel asikae kwa hofu ni lazima ahakikishe Iran Hana bomu la nuclear.
Iran hana Nia tena wala hatolipa kisasa...
Moja ya mafanikio makubwa kwa Iran,ni kufanikiwa ku testisha hiyo balastic missile yake kwa Israel na Ikafanikiwa kwa Asilimia 96,,huu ni ushindi na Ujumbe kwa Tel Aviv kwamba uwezo tunao wa kufikisha ...Kichwa cha Nyuklia Tel Aviv.
 
Back
Top Bottom