Na ulichoandika ndicho kinachoenda kutokea yupo wapi leo hii Bashar al Assad aliyekuwa akilindwa kindakindaki na Russia!Iran ikae kwa kutulia isiitegemee sana urusi inaweza ikaingizwa chaka na ikadundwa vema tu
Na ulichoandika ndicho kinachoenda kutokea yupo wapi leo hii Bashar al Assad aliyekuwa akilindwa kindakindaki na Russia!Iran ikae kwa kutulia isiitegemee sana urusi inaweza ikaingizwa chaka na ikadundwa vema tu
US wakithubutu Hilo ujue tunarudi kutumia baiskeli za Avon anzeni kuzifuta vumbi serikali yenu Haitaweza kuagiza mafuta Tena...na sisi mafuta TU huenda tukawa omba omba zaidiJe ina maana marekan ana taka kuishambulia Iran?
Iran mbona naiona toka ishambuliwe na Israel imekuwa kimiya sana , sasa huu uchokozi wa marekan ni wa nini tena
Echolima1 mnyama and 100 others gTurn Hammaz dudus
Aise haupo siriaz sasa Assad alikua ananini cha kuweza hata kumfananisha na Iran? Iran anatengeneza silaha nzito na awauzia warusi wewe inakuja kumlinganisha na Assad umeishiwa weweNa ulichoandika ndicho kinachoenda kutokea yupo wapi leo hii Bashar al Assad aliyekuwa akilindwa kindakindaki na Russia!
Numemshangaa huyo mkuu,Asad alikuwa analindwa na Tehran,Asad alikuwa tofauti na mafuta km ilivyo kwa waarabu wenzake hana kingine anachokijuaAise haupo siriaz sasa Assad alikua ananini cha kuweza hata kumfananisha na Iran? Iran anatengeneza silaha nzito na awauzia warusi wewe inakuja kumlinganisha na Assad umeishiwa wewe