Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Iran haijakaa kinyonge .Urusi inachoweza kuongeza kwa Iran ni silaha tu ambazo zitaleta madhara makubwa kwa Marekani hasa hao vibaraka wake warabu wa hapo middle east. Yale masinia ya biriyani na ngamia waliyozoea wataanza kuyaona kama kituo cha Polisi.😂Iran ikae kwa kutulia isiitegemee sana urusi inaweza ikaingizwa chaka na ikadundwa vema tu
Mikwara bubuMambo yanazidi kuchukua sura mpya ambapo Urusi amesema kitendo cha marekani kuishambulia Iran kitakua na matokea mabaya sana.
Wachambuzi wa siasa za kimataifa mje hapa Kila mmoja Atoe mtazamo wake kuhusu Hali inayoendelea kwa sasa baina ya marekani na Iran.
Je Urusi anaweza kuungana na Iran kujibu mapigo iwapo marekani ataanzisha mashambulizi dhidi ya Iran? Mapema mwezi Januari Iran na Urusi walisaini mkataba wa kimkakati wa zaidi ya miaka 20 katika masuala mbalimbali ikiwemo ya kijeshi ,ulinzi na usalama.
Karibuni.View attachment 3289956
😅😅😅Iran haijakaa kinyonge .Urusi inachoweza kuongeza kwa Iran ni silaha tu ambazo zitaleta madhara makubwa kwa Marekani hasa hao vibaraka wake warabu wa hapo middle east. Yale masinia ya biriyani na ngamia waliyozoea wataanza kuyaona kama kituo cha Polisi.😂
Iran haijakaa kimya inasubiri wakati sahihi wa kulipa kisasi.hara hivyo shambulizi la kulipa kisasibla marekani na Israeli lilikua la kinyonge sana pamoja na ndege vita zaidi ya 100 hazikuweza kuleta madhara makubwa hivyo kwa Iran hiyo haikumpa tabu sana kuwa na kiherehere cha kujibu mapigo.kwa kifupi ameshaujua uwezo wake na uwezo wa maadui zake.Je ina maana marekan ana taka kuishambulia Iran?
Iran mbona naiona toka ishambuliwe na Israel imekuwa kimiya sana , sasa huu uchokozi wa marekan ni wa nini tena
Echolima1 mnyama and 100 others gTurn Hammaz dudus
Waulize waisrael wanaujua mziki wa Iran Huwa hatishii. Unalijua operation true promise 1 and 2? Urusi anaona mbali na anajua madhara yatakayotokea.Mikwara bubu
Una umri gani hadi uwezo wa kuwaza mdogo.....nato yote iko vitani na vikao vya kila siku.....USA walisitisha msaada wa kijeshi zele na nato vilioUrusi mwaka wa tatu sasa amekashindwa ka Yukreini anawezaje kumkinga Iran
Wewe kwa mujibu wa uchambuzi wako inaonekana ni mtu wa masjid ubwabwa na vijiwe vya tangawizi na kashata. Hakuna unachokifahamu tofauti na kukaririshwa tu kama imani ya dini.Iran haijakaa kimya inasubiri wakati sahihi wa kulipa kisasi.hara hivyo shambulizi la kulipa kisasibla marekani na Israeli lilikua la kinyonge sana pamoja na ndege vita zaidi ya 100 hazikuweza kuleta madhara makubwa hivyo kwa Iran hiyo haikumpa tabu sana kuwa na kiherehere cha kujibu mapigo.kwa kifupi ameshaujua uwezo wake na uwezo wa maadui zake.
Umeuliza kwanini marekani anataka kuishambulia Iran jibu ni kwamba Israel ana wasiwasi kuwa Iran anatengeneza bomu la nuclear ( na huwenda tayari analo) kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha urutibishaji wa madini ya uraniam ambayo inatosha kutengeneza bomu hilo. Kwahiyo ili Israel asikae kwa hofu ni lazima ahakikishe Iran Hana bomu la nuclear.
Naona itatokea vita ya tatu ya dunia ndipo dunia itastabilize.Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambapo Urusi amesema kitendo cha marekani kuishambulia Iran kitakua na matokea mabaya sana.
Wachambuzi wa siasa za kimataifa mje hapa Kila mmoja Atoe mtazamo wake kuhusu Hali inayoendelea kwa sasa baina ya marekani na Iran.
Je Urusi anaweza kuungana na Iran kujibu mapigo iwapo marekani ataanzisha mashambulizi dhidi ya Iran? Mapema mwezi Januari Iran na Urusi walisaini mkataba wa kimkakati wa zaidi ya miaka 20 katika masuala mbalimbali ikiwemo ya kijeshi ,ulinzi na usalama.
Karibuni.View attachment 3289956
Nikujizima data tuUna umri gani hadi uwezo wa kuwaza mdogo.....nato yote iko vitani na vikao vya kila siku.....USA walisitisha msaada wa kijeshi zele na nato vilio
Maonyo ya urusi dhidi ya marekani ni mengi toka enzi za sadam husseinMambo yanazidi kuchukua sura mpya ambapo Urusi amesema kitendo cha marekani kuishambulia Iran kitakua na matokea mabaya sana.
Wachambuzi wa siasa za kimataifa mje hapa Kila mmoja Atoe mtazamo wake kuhusu Hali inayoendelea kwa sasa baina ya marekani na Iran.
Je Urusi anaweza kuungana na Iran kujibu mapigo iwapo marekani ataanzisha mashambulizi dhidi ya Iran? Mapema mwezi Januari Iran na Urusi walisaini mkataba wa kimkakati wa zaidi ya miaka 20 katika masuala mbalimbali ikiwemo ya kijeshi ,ulinzi na usalama.
Karibuni.View attachment 3289956
Mkuu itakuwa zaid ya Great Depression,Kama usa anapenda huo utawala wake uendelee akae mbali na iran ila kama anataka kuchora raman mpya ya mshariki ya kati basi apigane hivyo vita . Hivi sio vita anavyoweza kushinda usa hata kidogo na uchumi wa dunia utacollapse kiasi ambacho hakijawahi kutokea kwa miaka huko nyuma
Iran hana Nia tena wala hatolipa kisasa...Iran haijakaa kimya inasubiri wakati sahihi wa kulipa kisasi.hara hivyo shambulizi la kulipa kisasibla marekani na Israeli lilikua la kinyonge sana pamoja na ndege vita zaidi ya 100 hazikuweza kuleta madhara makubwa hivyo kwa Iran hiyo haikumpa tabu sana kuwa na kiherehere cha kujibu mapigo.kwa kifupi ameshaujua uwezo wake na uwezo wa maadui zake.