Urusi yaishiwa silaha yaamua kuagiza North Korea

Urusi yaishiwa silaha yaamua kuagiza North Korea

Sasa Unashangaa Nini?Yaani sisi tuwe na mgogoro na Burundi,halafu tupeleke jeshi na zana za kivita mpakani na Burundi,kweli inahitaji akili kutoka mbinguni kujua kuwa Tunaenda ivamia Burundi?
Nways US walisema wanajeshi wa Russia wameishiwa chakula🤣
Chameleon on the beat. Ngoja nijadiliane na wewe kwa namna mentality yako ilivyo.
Sasa bwasheeeee unacho pinga nini?

Nikisema ujuzi uliotumika kujua Urusi inakwenda kuivamia Ukraine ndiyo umetumika kujua Urusi kaagiza silaha N/korea sitakuwa sahihi?.
 
Uko Sahihi,unafikiri Arsene ya Sasa ya Russia na iliyokuwepo kipindi cha USSR ni ipi kubwa?Wakati Russia anaambiwa kaishiwa Silaha,lakini anazidi kutuma troops na silaha nchi mbalimbali kulinda amani!
Kaka yangu Bome-e,
Honestly, Binafsi sina taarifa sahihi juu ya weapons arsenal ya Russia, nilije nika-mislead mjadala.
 
Hahaaaa yaan mkuu ,dunia bado haiamin kilichotokea,kumbe maparedi yote yale mkwara tuu,kuna siku walionyesha kifaru kikubwa kama kisiwa wakasema wanavyo 70 ,na vina uwezo wa kushangaza ,chaa ajabu sijawah kukiona hata kimoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa Unashangaa Nini?Yaani sisi tuwe na mgogoro na Burundi,halafu tupeleke jeshi na zana za kivita mpakani na Burundi, kweli inahitaji akili kutoka mbinguni kujua kuwa Tunaenda ivamia Burundi?

Nways US walisema wanajeshi wa Russia wameishiwa chakula[emoji1787]

kama ndo hivo south korea zingeshavamiana tena na taiwan ingeshavamiwa.
hii insh ya kuvamiwa hata zelensky hakua anaijua ila USA tu
 
Wambie baba zenu NATO waingie mzigoni ili ndo tujue rusia kaishiwa siraha ama?

kua siriaz bas mkuu yaani zile F-35 zikiingia moscow andunje atabaki kweli?
au unataka madude ya Nukes yaanze kupishana angani mapema.
Rusia anapewa kifurushi kinaitwa Saizi yako. au yakwako tu Bundle baadae anapewa kitu kinaitwa Halichachi bando alaf anamaliziwa na supa speed 4G.
 
[emoji1787][emoji1787] Nikikumbuka US ilivyopopolewa kwa maneno baada ya kusema Urusi inakwenda vamia Ukraine kabla ya siku fulani, toka hapo nimekuwa sipuuzi kwa asimia zote kile wanachokisema.
Mbona USA na UKRAINE walisema wataifutilia mbali RUSSIA kabla ya August lakini hadi sasa hivi ni 0 - 0 ?

Eleza sababu 10 kwanini usiitwe lofa sababu ya mahaba niue yako kuwa pro NATO [emoji848][emoji3]
 
Mkuu kununua silaha huenda ni katika kuimarisha mahusiano ya kijeshi na North K.
Kuhimarisha mahusiano ya kijeshi kupo hatukatai, lakini inaingia akilini marekani kununua silaha Korea kusini? Let's say [emoji57]

Kama ni ushirika wa kijeshi tulitegemea north Korea anunue silaha Russia na si kinyume chake
 
Sasa hapo anapigana na Ukraine ambaye hata jeshi hakuwa nalo

Siku ajipeleke kwa Poland si atahama

Wakati mwingine jifunzeni kubakisa akiba ya maneno - mnashangaza sana yaani hamna hata habari kwamba katika Bara la Ulaya Ukraine ndilo Taifa lenye wanajeshi wengi, silaha nyingi zikiwemo ndege za kivita na Helicopters pia ndilo taifa kubwa kieneo barani Ulaya nyuma ya Urusi - kwa hiyo wanao sema eti Ukraine ni taifa dogo na weak kijeshi hawajui walisemalo au wanayesema hayo kimakusudi for political reasons-vita hii ndio imelipunguza makali/nguvu jeshi la Ukraine.
 
Mi nadhani Urusi kutafuta siraha North Korea, Iran, China na kwingineko inaeleweka ukiwa na akili ya kawaida. Urusi anahitaji siraha nyepesi na za kawaida kumpiga huyu dogo. Ndo maana hii oparesheni imepewa jina la vita ya kibinadamu sana. Unapigwa huku unapewa msaada na maeneo yaliyopigwa yakiendelea kujengwa. Mi nadhani Urusi asingetumia siraha anazotumia kwa sasa kama angekuwa anapigana na watu baki kabisa kama Ufaransa au Uk. Na am sure wangekuwa hawa kwa siraha alizonazo Urusi vita ingeshaisha muda mrefu. Ukraine inabidi muda mwingine sehemu ya kupeleka Tu-160 imejaa mzigo unapeleka drone tu ili madhara yasiwe makubwa sana. Ni bangi tu na masihara ya Zelenski ila kwa Warusi, Ukraine bado ni ndugu na wadogo zao so hawawezi kuwapiga kama mwizi alieiba ugenini
 
Back
Top Bottom