Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Uaimuamini mrusi kabisa hii kitu ilishapangwa kitambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila waswahili mna propaganda jamani. Kifaru gani kinalingana na kisiwa?
Nimem quote jamaa anadai Urusi wana kifaru kinalingana na kisiwa ndo mi mwenyewe nikapata mshangao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kiongozi ebu kuwa eshima.au kuna mtoto umemuona humu
Waelevu uhitaji kauli moja tu kujua ulofa wa mtu ila wewe unataka kauli zangu 10 ii ujue ikiwa mi si Lofa ama lah, ujisitukii kuwa ubongo wako unatatizo la ku- analyse mambo na ku- detect vitu kwa haraka tofauti na wengine?.Mbona USA na UKRAINE walisema wataifutilia mbali RUSSIA kabla ya August lakini hadi sasa hivi ni 0 - 0 ?
Eleza sababu 10 kwanini usiitwe lofa sababu ya mahaba niue yako kuwa pro NATO [emoji848][emoji3]
Aaaah wapi hayo maneno tu baada ya Urusi kuona operation yake haiendi kama alivyotarajia. Eti Vita vya kibinaadam na Yale Makombora anayotupa kwenye makazi ya watu kila uchwao?!Mi nadhani Urusi kutafuta siraha North Korea, Iran, China na kwingineko inaeleweka ukiwa na akili ya kawaida. Urusi anahitaji siraha nyepesi na za kawaida kumpiga huyu dogo. Ndo maana hii oparesheni imepewa jina la vita ya kibinadamu sana. Unapigwa huku unapewa msaada na maeneo yaliyopigwa yakiendelea kujengwa. Mi nadhani Urusi asingetumia siraha anazotumia kwa sasa kama angekuwa anapigana na watu baki kabisa kama Ufaransa au Uk. Na am sure wangekuwa hawa kwa siraha alizonazo Urusi vita ingeshaisha muda mrefu. Ukraine inabidi muda mwingine sehemu ya kupeleka Tu-160 imejaa mzigo unapeleka drone tu ili madhara yasiwe makubwa sana. Ni bangi tu na masihara ya Zelenski ila kwa Warusi, Ukraine bado ni ndugu na wadogo zao so hawawezi kuwapiga kama mwizi alieiba ugenini
Hizo Tu-160 mbona zinatumika kurusha Makombora ya masafa marefu kama Kh-101 cruise missiles,nk. Tatizo ni kwamba hawezi kuthubutu kuzipeleka ndani ya anga la Ukraine maana hazitarudi Moscow zitatunguliwa Kama ambavyo kina Su-35 wanavyopopolewa.Mi nadhani Urusi kutafuta siraha North Korea, Iran, China na kwingineko inaeleweka ukiwa na akili ya kawaida. Urusi anahitaji siraha nyepesi na za kawaida kumpiga huyu dogo. Ndo maana hii oparesheni imepewa jina la vita ya kibinadamu sana. Unapigwa huku unapewa msaada na maeneo yaliyopigwa yakiendelea kujengwa. Mi nadhani Urusi asingetumia siraha anazotumia kwa sasa kama angekuwa anapigana na watu baki kabisa kama Ufaransa au Uk. Na am sure wangekuwa hawa kwa siraha alizonazo Urusi vita ingeshaisha muda mrefu. Ukraine inabidi muda mwingine sehemu ya kupeleka Tu-160 imejaa mzigo unapeleka drone tu ili madhara yasiwe makubwa sana. Ni bangi tu na masihara ya Zelenski ila kwa Warusi, Ukraine bado ni ndugu na wadogo zao so hawawezi kuwapiga kama mwizi alieiba ugenini
Kh-22 inabeba mlipuko wa tani moja utasemaje ni silaha nyepesi?! Yani likitua mahali ardhi inabinuliwa juu chiniMi nadhani Urusi kutafuta siraha North Korea, Iran, China na kwingineko inaeleweka ukiwa na akili ya kawaida. Urusi anahitaji siraha nyepesi na za kawaida kumpiga huyu dogo. Ndo maana hii oparesheni imepewa jina la vita ya kibinadamu sana. Unapigwa huku unapewa msaada na maeneo yaliyopigwa yakiendelea kujengwa. Mi nadhani Urusi asingetumia siraha anazotumia kwa sasa kama angekuwa anapigana na watu baki kabisa kama Ufaransa au Uk. Na am sure wangekuwa hawa kwa siraha alizonazo Urusi vita ingeshaisha muda mrefu. Ukraine inabidi muda mwingine sehemu ya kupeleka Tu-160 imejaa mzigo unapeleka drone tu ili madhara yasiwe makubwa sana. Ni bangi tu na masihara ya Zelenski ila kwa Warusi, Ukraine bado ni ndugu na wadogo zao so hawawezi kuwapiga kama mwizi alieiba ugenini
Silaha za North Korea si za mchezo mchezo, si unaonaga South korea, japani na UAS wanavyo ishiaga kubweka tu na kuchimba mikwala ya mazoezi ya pamona ya kijeshiKuhimarisha mahusiano ya kijeshi kupo hatukatai, lakini inaingia akilini marekani kununua silaha Korea kusini? Let's say [emoji57]
Kama ni ushirika wa kijeshi tulitegemea north Korea anunue silaha Russia na si kinyume chake
Acheni kujidanganyaSuper power mandonga aishiwa silaha, sasa akipigana miaka 2 si ataishiwa mpaka bunduki, hahaaaa super power wa mchongo anachekesha.
Russia to buy North Korean artillery shells, rockets: Report
Declassified intelligence from the US says that Moscow is turning to isolated state to secure weapons as sanctions bite.
The US says Russia is sourcing artillery shells from North Korea [File: KCNA via Reuters]![]()
Russia is buying millions of artillery shells and rockets from North Korea, according to newly declassified intelligence reports from the United States.
The New York Times, which first reported the purchases, said the reports provided little detail on the exact weaponry involved or the timing or size of the shipments.
Beyond short-range rockets and artillery shells, Russia was expected to try to buy additional North Korean equipment in future, the paper said, citing an unnamed US official.
Russia’s move to buy weaponry from North Korea, an isolated state subject to international sanctions over its nuclear weapons programme, demonstrates that “the Russian military continues to suffer from severe supply shortages in Ukraine, due in part to export controls and sanctions,” the Associated Press news agency reported, citing a US official, who spoke on the condition of anonymity.
Russia has deepened ties with countries including North Korea and Iran since its invasion of Ukraine in February drew international condemnation and sanctions that have made it more difficult to keep its military supplied with weapons and equipment.
The US has previously said that Moscow has been buying drones from Iran, which has not joined the condemnation of Russia, instead blaming NATO’s expansion in Eastern Eu.
[emoji2398] 2022 Al Jazeera Media Network
Wakati mwingine jifunzeni kubakisa akiba ya maneno - mnashangaza sana yaani hamna hata habari kwamba katika Bara la Ulaya Ukraine ndilo Taifa lenye wanajeshi wengi, silaha nyingi zikiwemo ndege za kivita na Helicopters pia ndilo taifa kubwa kieneo barani Ulaya nyuma ya Urusi - kwa hiyo wanao sema eti Ukraine ni taifa dogo na weak kijeshi hawajui walisemalo au wanayesema hayo kimakusudi for political reasons-vita hii ndio imelipunguza makali/nguvu jeshi la Ukraine.
sio rahisi, wanataka tu kuonyesha uwezo wa silaha za North korea kwa waulimwengu.Super power mandonga aishiwa silaha, sasa akipigana miaka 2 si ataishiwa mpaka bunduki, hahaaaa super power wa mchongo anachekesha.
Russia to buy North Korean artillery shells, rockets: Report
Declassified intelligence from the US says that Moscow is turning to isolated state to secure weapons as sanctions bite.
The US says Russia is sourcing artillery shells from North Korea [File: KCNA via Reuters]![]()
Russia is buying millions of artillery shells and rockets from North Korea, according to newly declassified intelligence reports from the United States.
The New York Times, which first reported the purchases, said the reports provided little detail on the exact weaponry involved or the timing or size of the shipments.
Beyond short-range rockets and artillery shells, Russia was expected to try to buy additional North Korean equipment in future, the paper said, citing an unnamed US official.
Russia’s move to buy weaponry from North Korea, an isolated state subject to international sanctions over its nuclear weapons programme, demonstrates that “the Russian military continues to suffer from severe supply shortages in Ukraine, due in part to export controls and sanctions,” the Associated Press news agency reported, citing a US official, who spoke on the condition of anonymity.
Russia has deepened ties with countries including North Korea and Iran since its invasion of Ukraine in February drew international condemnation and sanctions that have made it more difficult to keep its military supplied with weapons and equipment.
The US has previously said that Moscow has been buying drones from Iran, which has not joined the condemnation of Russia, instead blaming NATO’s expansion in Eastern Eu.
© 2022 Al Jazeera Media Network
Aiyaaaa weee mskini mkubwa anaadhirika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Super power mandonga aishiwa silaha, sasa akipigana miaka 2 si ataishiwa mpaka bunduki, hahaaaa super power wa mchongo anachekesha.
Russia to buy North Korean artillery shells, rockets: Report
Declassified intelligence from the US says that Moscow is turning to isolated state to secure weapons as sanctions bite.
The US says Russia is sourcing artillery shells from North Korea [File: KCNA via Reuters]![]()
Russia is buying millions of artillery shells and rockets from North Korea, according to newly declassified intelligence reports from the United States.
The New York Times, which first reported the purchases, said the reports provided little detail on the exact weaponry involved or the timing or size of the shipments.
Beyond short-range rockets and artillery shells, Russia was expected to try to buy additional North Korean equipment in future, the paper said, citing an unnamed US official.
Russia’s move to buy weaponry from North Korea, an isolated state subject to international sanctions over its nuclear weapons programme, demonstrates that “the Russian military continues to suffer from severe supply shortages in Ukraine, due in part to export controls and sanctions,” the Associated Press news agency reported, citing a US official, who spoke on the condition of anonymity.
Russia has deepened ties with countries including North Korea and Iran since its invasion of Ukraine in February drew international condemnation and sanctions that have made it more difficult to keep its military supplied with weapons and equipment.
The US has previously said that Moscow has been buying drones from Iran, which has not joined the condemnation of Russia, instead blaming NATO’s expansion in Eastern Eu.
[emoji2398] 2022 Al Jazeera Media Network
Nimecheka Kwa sauti mpaka watu wamestuka kwenye basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaaaa yaan mkuu ,dunia bado haiamin kilichotokea,kumbe maparedi yote yale mkwara tuu,kuna siku walionyesha kifaru kikubwa kama kisiwa wakasema wanavyo 70 ,na vina uwezo wa kushangaza ,chaa ajabu sijawah kukiona hata kimoja
Soma vizuri taarifa boss. Soma.Elewa.ChangiaSasa hapo anapigana na Ukraine ambaye hata jeshi hakuwa nalo
Siku ajipeleke kwa Poland si atahama
Kifaru kikubwa Kama kisiwa? Duh kisiwa Kama Pemba? Au kisiwa Cha namna gani?Hahaaaa yaan mkuu ,dunia bado haiamin kilichotokea,kumbe maparedi yote yale mkwara tuu,kuna siku walionyesha kifaru kikubwa kama kisiwa wakasema wanavyo 70 ,na vina uwezo wa kushangaza ,chaa ajabu sijawah kukiona hata kimoja
Unaongea Kama Vita Ni mpira wa 90 minute hivi?kua siriaz bas mkuu yaani zile F-35 zikiingia moscow andunje atabaki kweli?
au unataka madude ya Nukes yaanze kupishana angani mapema.
Rusia anapewa kifurushi kinaitwa Saizi yako. au yakwako tu Bundle baadae anapewa kitu kinaitwa Halichachi bando alaf anamaliziwa na supa speed 4G.
HahahahahahaKifaru kikubwa Kama kisiwa? Duh kisiwa Kama Pemba? Au kisiwa Cha namna gani?
Ss huenda NK inahitaji fedha si silaha na Urusi wapo na OP maalum hivyo silaha zinatumika. Katika mazingira haya kuna win win iwapo Urusi itafanya hivyo.Kuhimarisha mahusiano ya kijeshi kupo hatukatai, lakini inaingia akilini marekani kununua silaha Korea kusini? Let's say [emoji57]
Kama ni ushirika wa kijeshi tulitegemea north Korea anunue silaha Russia na si kinyume chake