Urusi yaishiwa silaha yaamua kuagiza North Korea

Mataifa mengine ni baraha kwa propaganda, wanadiriki hata kueatisha sumu Africa kuwa Urusi ameishiwa siraha, pia Vita vya Siku 8 Georgia walisema ameishiwa siraha, hata Syria, Leo hii anaendesha mafunzo na Mataifa ya kikanda anatumia siraha.
Siwaelewi kabisa.
 
Mbona USA na UKRAINE walisema wataifutilia mbali RUSSIA kabla ya August lakini hadi sasa hivi ni 0 - 0 ?

Eleza sababu 10 kwanini usiitwe lofa sababu ya mahaba niue yako kuwa pro NATO [emoji848][emoji3]
Waelevu uhitaji kauli moja tu kujua ulofa wa mtu ila wewe unataka kauli zangu 10 ii ujue ikiwa mi si Lofa ama lah, ujisitukii kuwa ubongo wako unatatizo la ku- analyse mambo na ku- detect vitu kwa haraka tofauti na wengine?.
Tatizo lako ni kubwa kuliko langu.
 
Aaaah wapi hayo maneno tu baada ya Urusi kuona operation yake haiendi kama alivyotarajia. Eti Vita vya kibinaadam na Yale Makombora anayotupa kwenye makazi ya watu kila uchwao?!

Mpaka sasa Urusi silaha ambayo hajaitumia hapo Ukraine ni Nyuklia tu lkn nyingine zote kashamaliza kuanzia na Hypersonic missiles, lasers, Kalibr cruise missiles, Thermobaric bombs and rockets,Iskander,Heavy ant ship missiles Kh-22,nk. Hapo ndo unasema jamaa anatafuta silaha nyepesi, ukweli mchungu ni kwamba baada ya Ukraine kupata HIMARS alianza kutarget maghala ya silaha ya Urusi ndo maana unaona tangu Himars ziingie mzigoni Ile Kasi ya Urusi ya kuteka maeneo imepungua Kwa zaidi ya robo tatu. Yani mpk Leo Ukraine inafanya counter offensive dhidi ya Russia,ni kichekesho!!!!!
 
Hizo Tu-160 mbona zinatumika kurusha Makombora ya masafa marefu kama Kh-101 cruise missiles,nk. Tatizo ni kwamba hawezi kuthubutu kuzipeleka ndani ya anga la Ukraine maana hazitarudi Moscow zitatunguliwa Kama ambavyo kina Su-35 wanavyopopolewa.

Mpaka sasa Russia imeshindwa kufanya SEAD operation ndani ya Ukraine,SAM za Ukraine bado zipo active ndo maana anafanya mashambulizi kutokea mbali sababu hana air superiority. Angekua kamiliki anga la Ukraine angefanya carpet bombing hapo Ukraine kama alivyokua anafanya Syria mpk miji yote ikageuka magofu na vifusi
 
Kh-22 inabeba mlipuko wa tani moja utasemaje ni silaha nyepesi?! Yani likitua mahali ardhi inabinuliwa juu chini

Kh-22 under a Tu-22M2
Type air-to-surface missile
Place of origin Soviet Union
Service history
Used by Russia
Production history
Manufacturer Raduga
Specifications
Weight 5,820 kg (12,800)Weight 5,820 kg (12,800 lb)
Length 11.65 m (38.2 ft)
Diameter 92 cm (36 in)
Warhead 1,000 kg (2,205 lb) RDX
or 350–1000kt nuclear
Engine Liquid-fuel rocket
Wingspan 300 cm (120 in)
Propellant Hydrazine and IRFNA
Operational
range 600 km (320 nmi) (Kh-22M/MA) [2]
Flight ceiling 10-14km or 27km
Speed Mach 4.6 [1]
Guidance
s
 
Kuhimarisha mahusiano ya kijeshi kupo hatukatai, lakini inaingia akilini marekani kununua silaha Korea kusini? Let's say [emoji57]

Kama ni ushirika wa kijeshi tulitegemea north Korea anunue silaha Russia na si kinyume chake
Silaha za North Korea si za mchezo mchezo, si unaonaga South korea, japani na UAS wanavyo ishiaga kubweka tu na kuchimba mikwala ya mazoezi ya pamona ya kijeshi

Iran na North korea ni wanaume wa kazi ambao hawatishiki hata kidogo na mikwara ya USA
 
Acheni kujidanganya
 

naona hata na wew huamin kama Ukraine ina jeshi dogo kama ambavyo weng wanaamin hii ni kutokana na mchaka mchaka anao pelekewa anko Kifutu.
 
sio rahisi, wanataka tu kuonyesha uwezo wa silaha za North korea kwa waulimwengu.
 
Aiyaaaa weee mskini mkubwa anaadhirika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaaaa yaan mkuu ,dunia bado haiamin kilichotokea,kumbe maparedi yote yale mkwara tuu,kuna siku walionyesha kifaru kikubwa kama kisiwa wakasema wanavyo 70 ,na vina uwezo wa kushangaza ,chaa ajabu sijawah kukiona hata kimoja
Nimecheka Kwa sauti mpaka watu wamestuka kwenye basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaaaa yaan mkuu ,dunia bado haiamin kilichotokea,kumbe maparedi yote yale mkwara tuu,kuna siku walionyesha kifaru kikubwa kama kisiwa wakasema wanavyo 70 ,na vina uwezo wa kushangaza ,chaa ajabu sijawah kukiona hata kimoja
Kifaru kikubwa Kama kisiwa? Duh kisiwa Kama Pemba? Au kisiwa Cha namna gani?
 
Sasa si ndo muda huu was NATO kujiingiza livelive uwanjani kuwasaidia Ukraine?
Warusi silaha zimeisha. NATO waingie au mnasemaje ndugu zangu?
 
Unaongea Kama Vita Ni mpira wa 90 minute hivi?
Mkuu ikitokea leo Moscow au Kazan nk ikashambuliwa hats kwa bahati mbaya ikajulikana kabisa mpigaji Ni US au NATO,
Itatokea mutual Assured Destruction coz Russia itajibu kwa nuclear US atajibu kwa Nuclear Nini kitatokea.
 
Kuhimarisha mahusiano ya kijeshi kupo hatukatai, lakini inaingia akilini marekani kununua silaha Korea kusini? Let's say [emoji57]

Kama ni ushirika wa kijeshi tulitegemea north Korea anunue silaha Russia na si kinyume chake
Ss huenda NK inahitaji fedha si silaha na Urusi wapo na OP maalum hivyo silaha zinatumika. Katika mazingira haya kuna win win iwapo Urusi itafanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…