Urusi yaishiwa silaha yaamua kuagiza North Korea

Urusi hiihii iliyoenda kuomba drone Iran au kuna nyingine?!
 
Na umeamini hii information?😀
 
Mbona USA na UKRAINE walisema wataifutilia mbali RUSSIA kabla ya August lakini hadi sasa hivi ni 0 - 0 ?

Eleza sababu 10 kwanini usiitwe lofa sababu ya mahaba niue yako kuwa pro NATO [emoji848][emoji3]
Tunachofahamu U.S alisema wanataka vita vipiganwe muda mrefu ili kumfilisi Mrusi,hiyo ya August naomba utuweke chanzo.
 
Leo Ukraine limekuwa Taifa kubwa Kijeshi Ulaya nzima ukitoa Russia? Vipi mliposema mnaenda kuikamata Kiev ndani ya saa 72 hamkujua hili?
 
Aliyesema hayo maneno alikuwa ni nani kama sio USA?.Hitler mwenyewe pamoja na jeshi kubwa ila alikuwa na washirika wake kwa iyo sishangai kusikia URUSI kutaka kununua Drone za IRAN.

URUSI ndo taifa la kwanza duniani kupigana na Dunia nzima.haijawai kutokea kwenye Dunia nchi zote kubwa zikaungana kwa ajili ya mtu mmoja
Urusi hiihii iliyoenda kuomba drone Iran au kuna nyingine?!
 
Silaha za North Korea si za mchezo mchezo, si unaonaga South korea, japani na UAS wanavyo ishiaga kubweka tu na kuchimba mikwala ya mazoezi ya pamona ya kijeshi

Iran na North korea ni wanaume wa kazi ambao hawatishiki hata kidogo na mikwara ya USA
Kwa iyo sasa ivi Russia waoga alafu Iran na North Korea ndio wanaume. Kweli mlete mzungu
 
Hao wengine wana Nyuklia kama yeye alivyo nazo. Kwa iyo uwezi kuanzisha mchezo wa kurusha mawe na wakati unakaaa ktk nyumba ya vioo
 
Leo Ukraine limekuwa Taifa kubwa Kijeshi Ulaya nzima ukitoa Russia? Vipi mliposema mnaenda kuikamata Kiev ndani ya saa 72 hamkujua hili?

Jibu swali, sio mnakimbilia ku-derail mada - nimesema Ukraine ndilo taifa lilikuwa na wanajeshi wengi barani Ulaya, wingi wa zana za vita barani Ulaya, taifa kubwa kieneo kuliko mataifa mengine barani Ulaya save Urusi - sasa swali,je,niliyo yasema hayana ukweli? labda tuanzie hapo.

I wonder why you people keep on repeating yourselves over and over again kuhusu operation ya jeshi la Urusi kwenye viunga vya jiji la Kiev - Majenerali wa Urusi pamoja na retired Majenerali wa Merikani wanasema kikosi kilicho pelekwa jijini Ukraine lengo lake ni kutumika kama DECOY kuwavuta wanajeshi wa Ukraine kutoka majimbo ya kusini mashariki kuja Kiev kuimarishi ulizi, jeshi la Zelensky lilidanganyika kwa kudhani Warusi wana nia ya kuuteka jiji la Kiev, kumbe hile ilikuwa danganya toto tu yenye lengo la kupunguza nguvu za jeshi la Ukraine kusini mashariki mwa Ukraine.

Kumbukeni lengo kuu la jeshi la Urusi lilikuwa ni kuwakomboa ethnic Russians kusini mashariki mwa Ukraine ili wasiendelee kuwa wananyanyaswa na kuuwawa kwa wingi na jeshi la KINAZI (AZOV) kwa kibali cha Zelensky mwenyewe, waliuwawa Waukraine wenye asili ya Urusi zaidi ya 140,000 (au 14,000 sikumbuki vizuri) cha ajabu vyombo vyote vya habari vya mataifa ya magharibi huwa hawasemi chochote kuhusu mauuaji hayo ya kutisha, wapo kimya kabisa!! Kazi kumunanga na kusema sema ovyo Putin 24X7 kwamba ni binadamu katiri,muuaji mpenda kufufua tena Soviet Union au kuikalia Ulaya nzima - madai hayo hayana ukweli wowote wanatunga tu kumwaribia sifa Putin, yaani Putin kutaka kuwatetea/kuwalinda Warusi wenzake ndani ya Ukraine mataifa mengi ya Ulaya na Merikani wanachukulia kitendo cha Putin kama ni dhambi kubwa sana, lakini NATO hasa hasa Merikani kushambulia na kuipiga mabomu Yugoslavia na kumuondoa Milosovic madarakani bila ya sababu yoyote ya msingi zaidi ya kutaka kuendeleza siasa zao za kijinga za kutaka kuitawala Dunia kinguvu, nawambieni kama hisingekuwepo Urusi hasa hasa Putin Duniani genge hili la ma Anglo-Saxon lingepeleka puta Dunia nzima - ni binadamu wachache Duniani wanao tambua ukweli huo.
 
Posting za humu Ni kipimo Tisha Cha shule uliyosoma, kiwango Cha elimu, malezi na makuzi yako na uwezo wako wa kufikiri na kutamka kabla hujatamka au kuposti chochote hadharani.
 
Huyo Russia kaishiwa tu, uchumi umeshaanza kuporomoka wao walifikiri vita ni lelemama. Yaani Russia anapewa silaha na Iran?

This Russia is a pale shadow of what USSR used to be.
 
Huu ushuzi wako haunuki. Lete ule unaonuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…