Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Putin hana uwezo huo kwa sasa..Hizo ni njama za Urusi za kuongeza mashambulizi Ukraine. Sasa hivi Ukraine atapokea kichapo cha kufa mtu
[emoji16][emoji1][emoji1]Putin hana uwezo huo kwa sasa..
Ni wiki ya 5 sasa na kwa mshangao mkubwa ameshindwa kuteka Kyiv wala kumuondoa Zelensky, kinyume na matarajio yake ya mwanzo!
Kyiv bado ipo chini ya Ukraine.Kwa akili ya harakaharaka hapo kuna jambo urusi wanataka kulifanya kikubwa wanatafuta kisingizio ili watakapotekeleza jambo lenyewe dunia ijue kama walikuwa wanalipiza au wanajilinda.. wasoviet wanaakili sana
Gavana wa jimbo la Belgorod nchini Urusi ameishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta katika mji huo...
Kyiv ni ya wa-ukraine na wala sio ya warusiKyiv bado ipo chini ya Ukraine.
Tuliambiwa anga la urusi ni un accessible. Hayo ma s500 yanafanya kazi ganiGavana wa jimbo la Belgorod nchini Urusi ameishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta katika mji huo...
Huyu jamaa anawapasua sana Ukraine lakini yeye akifinywa tu sikio analalamika kinomaGavana wa jimbo la Belgorod nchini Urusi ameishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta katika mji huo.
Vyacheslav Gladkov alisema kupitia Telegram kwamba moto mkubwa uliozuka Ijumaa asubuhi kwenye ghala hilo, ulisababishwa na mashambulizi ya anga kutoka kwa helikopta mbili za Ukraine.
Awali alisema kuwa watu wawili walijeruhiwa, lakini hakukuwa na hatari yoyote ya kutishia maisha. Wakazi wa mitaa ya karibu waliondolewa wakati maafisa wa zima moto wakikabiliana na moto huo, alisema.
Hatua hiyo inajiri siku mbili tu baada ya eneo hilo pia kushuhudia milipuko mwingine katika jengo la kuhifadhia silaha. Belgorod iko kaskazini mwa mpaka na Ukraine.
Ukraine haijathibitisha kuhusika na milipuko au mashambulizi hayo.
View attachment 2171341