Urusi yaishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta

Urusi yaishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta

Hongera zao UKRAINE [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]

Tunapigana unaanza kulalamika tusipigane kwenye uso, eti ziwe ngumi za vifuani tu basi......mumenikumbusha mbali sana utotoni kule.
Subiri muanze kusikia milipuko milipuko bila kujua inawafikiaje mpaka Moscow mjini kati.
 
Kwa akili ya harakaharaka hapo kuna jambo urusi wanataka kulifanya kikubwa wanatafuta kisingizio ili watakapotekeleza jambo lenyewe dunia ijue kama walikuwa wanalipiza au wanajilinda.. wasoviet wanaakili sana
akili ya kutumia mabavu kweny kila kitu
 
Kwa akili ya harakaharaka hapo kuna jambo urusi wanataka kulifanya kikubwa wanatafuta kisingizio ili watakapotekeleza jambo lenyewe dunia ijue kama walikuwa wanalipiza au wanajilinda.. wasoviet wanaakili sana
walivamia bila hata kurushiwa jiwe , ss hv ndo wanatafuta sababu ?
 
Uko sahihi

Majeshi ya Urusi yaliyo msitari wa mbele wakizidiwa na Jeshi la Ukraine wakitaka kurudi nyuma vikosi vya nyuma yao vya Urusi wanawashamhulia kwa mirisasi na mabomu kuwa ni wasaliti wanakimbia vita na kuwaua.Hao Askari wanajikuto katikati ya vita ndio wanaoana ujinga wanarudi nyuma kwa kushambulia vikosi vya nyuma na kuvurumisha mabomu na mikombora Urusi kuwa kama kufa tufe wote tu.Putin majeshi ya mstari wa mbele ni kama kawatoa kafara kuwa kafieni huko huko Ukraine mkigeuka nawaua

Sasa wanaoana kurudi nyuma
hii angalau ina uhalisia , Putin alianzish vita bila mipango , aliamin ukubwa ungetosha kushinda vita
 
Namshukuru Mungu amekupa mawazo Kama yangu ,kwa watu wasiolewa haya mambo watashabikia Kuwa Russia kapigwa lakini kuna mawili,wajipige wenyewe wadai ni vijana wa comedian au waliwaona wakiingia wakawacha kusudi wapate haki ya kuja kufanya unyama sana kwa madai ya kuwa Ukraine nao wanawashambulia
unahisi vita ni muvi za komando kipensi?
 
Wapumzike kupigana waheshimu mwezi mtukufu, Ramadan ikiisha waendelee kutwangana
 
Duh!

Itakuwa ni askari wa Urusi waliochoka na vita haram ya Putin ndo wanalipua huko kwao ili kumzindua bosi wao🙄
kuna ka ukweli hapa maana rusia wanajitapa kuwa na mfumo imara wa defence sasa sijui hilo kombola litapita wapi kutoka ukraine. Though, wale raia wa urusi wanaopigania ukraine huenda ndio master mind wa mchezo huu
 
Back
Top Bottom