Urusi yaishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta

Tena wameshambuliwa na helikopta mbili zilizokuwa zikiruka kwenye low altitude, sijui ilikuwaje air defence systems zikashindwa kuziona.

Inaonekana kwa siku zijazo hata Russia nayo haitakuwa salama kwani Ukraine inaonekana wameshaingiziwa silaha hatari.
 
Yaan umeleta furaha yako moja kwa moja hapa
 
Binafsi ninavyoona, ikiwa Urus hatatumia silaha za Nyuklia basi atayumbishwa sana na Ukrain.

Inasemekana Wanajeshi wa Urusi wamekosa morali ya vita mana majenerali walifisadi fedha za kuboresha silaha miaka kadhaa, hivyo jeshi la Urus lina vifaa kama magari, vifaru vimechoka na vinaharibika hovyo!

Pia inasemekana Wanajeshi wengi wa Urus hawakujiandaa na hii vita na hawana uzoefu na mapigano ya mjini hivyo wanauawa sana, hali iliyopelekea kurudishwa nyuma na vikosi vya Ukrain.

Wakati huo huo Ukrain ina wapiganaji wengi wa kujitolea. Urus nae inasemekana amepeleka wapiganaji wa kujitolea waliokuwa wanapigana huko Syria na Libya ambao wanauzoefu na mapigano ya mjini.

Inaonekana Waukrain wamehamasika sana na hii vita tofauti na Warusi.



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tuliambiwa anga la urusi ni un accessible. Hayo ma s500 yanafanya kazi gani
Nimeisoma habari sehemu, marubani wa Ukrain wanao uwezo wa kuruka na helkopta chini chini, hivyo helkopta haiwezi kunaswa na rada. Ndio walichokifanya hao marubani wa Ukrain na kushambulia hayo matenki ya mafuta.

Hii kitu nilikuwa siijui. Sasa wataalamu wa vita humu ndani watueleweshe, kumbe helkopta ikiruka chini sana haionwi na rada?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hata hivyo Ukraine imekana kuhusika kivyovyote.
 
Kwa akili ya harakaharaka hapo kuna jambo urusi wanataka kulifanya kikubwa wanatafuta kisingizio ili watakapotekeleza jambo lenyewe dunia ijue kama walikuwa wanalipiza au wanajilinda.. wasoviet wanaakili sana
Namshukuru Mungu amekupa mawazo Kama yangu ,kwa watu wasiolewa haya mambo watashabikia Kuwa Russia kapigwa lakini kuna mawili,wajipige wenyewe wadai ni vijana wa comedian au waliwaona wakiingia wakawacha kusudi wapate haki ya kuja kufanya unyama sana kwa madai ya kuwa Ukraine nao wanawashambulia
 
Waliidharau ukraine sasa shilingi inageuka upande wa pili, Zelensky ni rais bomba duniani natamani kuweka picha yake seating room kwangu
 
Wajiandae na VITA kwani futiboli ile mjeda wakati wowote anakua tayari
 
Rada nyingi zinasoma umbali wa juu kwenda hewani ndio missiles zinapotokea lakini haziwezi kuona vitu vinavyoruka low altitude
 
Anga ni la mungu tu sio binadamu kwani hao urusi hizo nuclear weapon walitest vita gani Bora hata america alitest huko japan
S-500 is nothing but a myth. Look at the way Russia is struggling in Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…