Hongera zao UKRAINE [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
akili ya kutumia mabavu kweny kila kituKwa akili ya harakaharaka hapo kuna jambo urusi wanataka kulifanya kikubwa wanatafuta kisingizio ili watakapotekeleza jambo lenyewe dunia ijue kama walikuwa wanalipiza au wanajilinda.. wasoviet wanaakili sana
walivamia bila hata kurushiwa jiwe , ss hv ndo wanatafuta sababu ?Kwa akili ya harakaharaka hapo kuna jambo urusi wanataka kulifanya kikubwa wanatafuta kisingizio ili watakapotekeleza jambo lenyewe dunia ijue kama walikuwa wanalipiza au wanajilinda.. wasoviet wanaakili sana
walishindwa kutafuta sababu mwanzoni kipind wanavamia?Nakubaliana na wewe ...Kuna kitu kinakuja...
hii angalau ina uhalisia , Putin alianzish vita bila mipango , aliamin ukubwa ungetosha kushinda vitaUko sahihi
Majeshi ya Urusi yaliyo msitari wa mbele wakizidiwa na Jeshi la Ukraine wakitaka kurudi nyuma vikosi vya nyuma yao vya Urusi wanawashamhulia kwa mirisasi na mabomu kuwa ni wasaliti wanakimbia vita na kuwaua.Hao Askari wanajikuto katikati ya vita ndio wanaoana ujinga wanarudi nyuma kwa kushambulia vikosi vya nyuma na kuvurumisha mabomu na mikombora Urusi kuwa kama kufa tufe wote tu.Putin majeshi ya mstari wa mbele ni kama kawatoa kafara kuwa kafieni huko huko Ukraine mkigeuka nawaua
Sasa wanaoana kurudi nyuma
km mnalijua hilo wanataka nini ndan ya ukraine?Kyiv ni ya wa-ukraine na wala sio ya warusi
unahisi vita ni muvi za komando kipensi?Namshukuru Mungu amekupa mawazo Kama yangu ,kwa watu wasiolewa haya mambo watashabikia Kuwa Russia kapigwa lakini kuna mawili,wajipige wenyewe wadai ni vijana wa comedian au waliwaona wakiingia wakawacha kusudi wapate haki ya kuja kufanya unyama sana kwa madai ya kuwa Ukraine nao wanawashambulia
Tuliza wewe watu tunaangalia kwa mapana we unaleta blah blah zako hapaunahisi vita ni muvi za komando kipensi?
Mbona mengine huwa wana tangaza hili lina nn mpaka waogope?Ulitaka akubali wakati wapo kwenye ceasefire agreements?
Ndiyo madhara yake hayoakili ya kutumia mabavu kweny kila kitu
Alijua ukomandoo wake utamsaidia mpaka kuua sisimizihii angalau ina uhalisia , Putin alianzish vita bila mipango , aliamin ukubwa ungetosha kushinda vita
kwa vichekesho hv bonyeza #Tuliza wewe watu tunaangalia kwa mapana we unaleta blah blah zako hapa
mwambie alieingia kweny nchi ya mwenzieWapumzike kupigana waheshimu mwezi mtukufu, Ramadan ikiisha waendelee kutwangana
#kwa vichekesho hv bonyeza #
Si useme tu kuwa Ukraine imekana kuhusika!Ukraine haijathibitisha kuhusika na milipuko au mashambulizi hayo.
kuna ka ukweli hapa maana rusia wanajitapa kuwa na mfumo imara wa defence sasa sijui hilo kombola litapita wapi kutoka ukraine. Though, wale raia wa urusi wanaopigania ukraine huenda ndio master mind wa mchezo huuDuh!
Itakuwa ni askari wa Urusi waliochoka na vita haram ya Putin ndo wanalipua huko kwao ili kumzindua bosi wao🙄