Kumbe upo
israel hawakupata lolote kwenye vita hizo Nucler facilities kashindwa kuzidestroy hana capability hizoYeye atayafanyia nini, au atamuhifadhia?
Mwanae anaangamia, uchungu wa mwanaKumbe upo
Hebu leta takwimu za Deaths Iran vs IsraelHuyo mrusi ni mnafiki tu anataka kuwasaidia israel mimi nasema Iran tembeza kichapo tu karibu Israel atainua mikono juu
israel hawakupata lolote kwenye vita hizo Nucler facilities kashindwa kuzidestroy hana capability hizo
Tuna muona anavyo lia ili America akamuokoe na pia anaomba msada kwa warabu sasa huko Saud Arabia, UAE, Qatar wamsaidie.Uzuri Israel imekomaa kwenye kuhakikisha uislamu hautakua tishio tena dunia hii, wanapiga kila chochote mlichokua mumeandaa kwa miaka yote hiyo, wamekomaa hapo, hawana haja na kuua Wairan......
Nyie kupiga apartments za raia, hiyo ni gharama ndogo ukilinganisha na uislamu kama mgeachiwa kumiliki manyuklia.
Putin hafikirii kutoka Ukraine?Rais Putin ametoa hilo wazo maana hayo madini ndio chanzo cha Israel kutembeza kichapo Iran, hivyo yakiondolewa huko Iran basi ugomvi utapungua, vinginevyo Israel itaendelea kuwinda vinyu vyote vya nyuklia na kivichakaza.....
Vladimir Putin is willing to store uranium from Iran’s nuclear programme in Russia, the Kremlin said on Monday, adding that Moscow was ready to act as a mediator in the conflict between Israel and Iran.
On Monday, Russia said its offer to take the uranium from its ally was still on the table, having first made the proposal earlier this year.
Iran, meanwhile, warned that it was preparing to leave the Nuclear Non-Proliferation Treaty, raising fresh fears over its nuclear programme.
Israel has hit several of Tehran’s nuclear sites in recent days, in series of strikes aimed at preventing Iran from building a nuclear weapon, which Israel says would be an existential threat.
Putin offers to take Iran’s uranium
Russian leader reiterated his proposal as the Kremlin said he was also willing to act as a mediator in the conflict between Israel and Iranwww.telegraph.co.uk
Israel iinue mikono kwa ajili ya nani.? Iran hii hii..!!! Hiyo itakuwa ni Israel ya Mlingotini Bagamoyo.Huyo mrusi ni mnafiki tu anataka kuwasaidia israel mimi nasema Iran tembeza kichapo tu karibu Israel atainua mikono juu