Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Majeshi ya Russia yamekamata shehena ya droni za Marekani (American Kamikaze drones switchblade) zilizopelekwa na Marekani kuisaidia Ukraine.
Russia imetoa picha za drones hizo, mzigo ukiwa mpyaa toka kwenye mabosi yake, na imesema ndugu watazamaji tutegemee kuona video motomoto hivi karibuni za namna drones hizo zitavyotumiwa na majeshi ya Russia kuangamiza vifaru na magarivita ya Ukraine pamoja na mifumo ya mizinga ya Ukraine ktk mji wa Limansky. Wanasema watatumia drones hizo hizo za Marekani kuwatwanga Ukraine kwenye mji huo.
Habari imeripotiwa na website ya Bulgarian military.
Omusolopogasi na Glenn (waMarekani wetu wa Nanjilinji) njooni hapa mteseke tena zaidi