4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
hlf kwa akili hz lzm tutawaliwe tena , akili fupi sana ,so Urusi kaanzisha vita ili apoteze silaha za zamani ? hana mipangi kbs ya kushinda ?hivi kwa akili yako nukta moja,unazani huo msafara ulikuwa bule tu bila plan!?, waulize kwa nn wamarekani na NATO wame surrender! Hujiulizi!? inshort hivyo vifaru ni vya enz za usoviet so waliona hayana tija tena hata Kama yakiwa chuma chakavu huko kwa zele,pale tulienda ku dump outdated tec. na mlipeleka mi drone yenu ikakaushwa Kama mishkaki na just a dot technology from Russia ambayo USA hawana na hawajawahi kuwaza ,Sasa hiyo ni just a simple technology kwa ss warusi ,mizigo kamili haijaguswa kabisaaa hata kidogo .tulisubili muingize pua tuwa onyeshe show [emoji23],bahati kwenu mmeshtuka mkaufyata mkia, la sivyo mngejua Putin ni binadamu au allien!
Sent using Jamii Forums mobile app