Urusi yakamata shehena ya drones za Marekani, American Kamikaze drones switchblade: "Tutazitumia kuangamiza magarivita na vifaru vya Ukraine"

Waambie wakusanye haya mauchafu wameacha kwenye nchi ya watu, limsafara lilipitia tabu sana.

View attachment 2240888

AAXMHNt.img
hivi kwa akili yako nukta moja,unazani huo msafara ulikuwa bule tu bila plan!?, waulize kwa nn wamarekani na NATO wame surrender! Hujiulizi!? inshort hivyo vifaru ni vya enz za usoviet so waliona hayana tija tena hata Kama yakiwa chuma chakavu huko kwa zele,pale tulienda ku dump outdated tec. na mlipeleka mi drone yenu ikakaushwa Kama mishkaki na just a dot technology from Russia ambayo USA hawana na hawajawahi kuwaza ,Sasa hiyo ni just a simple technology kwa ss warusi ,mizigo kamili haijaguswa kabisaaa hata kidogo .tulisubili muingize pua tuwa onyeshe show [emoji23],bahati kwenu mmeshtuka mkaufyata mkia, la sivyo mngejua Putin ni binadamu au allien!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnachekesha mjue, huyo Putin baada ya limsafara kuliwa kachomoa mzuka wake Kiev na kugeuza kufuata kamji ka huko mbali Marioupul, na mpaka sasa amefukuziwa kama mbwa, anaendelea kuachia maeneo....
 
Napenda sana moyo wako wakutokata tamaa licha ya kichapo ila unajitutumua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenziye Britannica alipewa chembe za uso na Warusi wa Mkuranga hadi akatokomea mitini, afu ye anavimbisha mashavu hapa kama paka shume vile [emoji28]
 
Napenda sana moyo wako wakutokata tamaa licha ya kichapo ila unajitutumua 😂😂😂😂😂😂

Mimi nilipoona limsafara la kilomita 60 nikakata tamaa, nikajua Kiev kwisha, nikajua Zelensky amebakisha siku chache atoe hotuba yake ya mwisho, nikajua Ukraine imeisha......ila leo nashangaa kuna ramani imekaa kivingine, Mrusi ameachia maeneo, amefukuziwa kama mbwa, yaani nimewakubali sana Ukraine, aisei hawakukata tamaa, hawakuikimbia nchi, walipambana jino kwa jino wakalifyeka limsafara lote likabaki chuma chakavu.
 
Imagine hii hali ya njaa dunia inayolalamikia kwa sasa bado haijafikia zile level za njaa za kenya......kweli njaa haina baunsa ,buti la zungu kulamba ni jadi
 
Mnachekesha mjue, huyo Putin baada ya limsafara kuliwa kachomoa mzuka wake Kiev na kugeuza kufuata kamji ka huko mbali Marioupul, na mpaka sasa amefukuziwa kama mbwa, anaendelea kuachia maeneo....
ujerumani juz walikaa kikao wakasema wao hawatoi Tena siraha kuwapa,na nchi nyingine pia wamesema hawatatoa misaada ya siraha Tena kwenu,wameona kila wakiwapa zinakaushwa mishkaki ama kutekwa na Russia ,kinyumechake wanaijazia siraha Russia [emoji23],badala ya Ukraine [emoji23].na zele ameshakata tamaa ,na juz amekili kushinda Vita hii haiwezekani ,ameamua ku surrender anaomba Putin wakae mezani wazungumze ili kumaliza vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usa watawapa Ukrine Drone Frequency Jammer so Azitofanya Kazi. Then zitakuwa Useless
Yaani wewe m-Matumbi wa Bhuza uliyekariri tu neno "drone frequency" (hujui undani wake) umekuwa mjuaji zaidi wa hilo kuliko hata Russia ambaye ni gwiji ktk utengenezaji wa mifumo hiyo🤣😂😂

Mbona hii hapa chini (F-14) hawajai-jam?!

Mu-Iran kaifufua na kuiingiza ktk matumizi ya jeshi la anga la Iran...tusubiri tuone kopi kibao za F-14 zilizokuwa up-graded na Iran

SmartSelect_20220527-175755_Chrome.jpg
 
ujerumani juz walikaa kikao wakasema wao hawatoi Tena siraha kuwapa,na nchi nyingine pia wamesema hawatatoa misaada ya siraha Tena kwenu,wameona kila wakiwapa zinakaushwa mishkaki ama kutekwa na Russia ,kinyumechake wanaijazia siraha Russia [emoji23],badala ya Ukraine [emoji23].na zele ameshakata tamaa ,na juz amekili kushinda Vita hii haiwezekani ,ameamua ku surrender anaomba Putin wakae mezani wazungumze ili kumaliza vita

Sent using Jamii Forums mobile app

Silaha walizotoa zimefanya vya kutosha, ile tu Kiev ilimshinda Mrusi akageuza hapo ilitosha, aendelee kuhangaika huko na tumji twa akina Marioupol, alishaingia aibu ya kutosha, amehema na kuishiwa pumzi.
 
hivi kwa akili yako nukta moja,unazani huo msafara ulikuwa bule tu bila plan!?, waulize kwa nn wamarekani na NATO wame surrender! Hujiulizi!? inshort hivyo vifaru ni vya enz za usoviet so waliona hayana tija tena hata Kama yakiwa chuma chakavu huko kwa zele,pale tulienda ku dump outdated tec. na mlipeleka mi drone yenu ikakaushwa Kama mishkaki na just a dot technology from Russia ambayo USA hawana na hawajawahi kuwaza ,Sasa hiyo ni just a simple technology kwa ss warusi ,mizigo kamili haijaguswa kabisaaa hata kidogo .tulisubili muingize pua tuwa onyeshe show [emoji23],bahati kwenu mmeshtuka mkaufyata mkia, la sivyo mngejua Putin ni binadamu au allien!

Sent using Jamii Forums mobile app
NATO hawajasurrender,ni wajanja hamna anayeingia kwenye vita physical hawataki nchi zao kuathirika ila putin anaumia kwa vikwazo vya mda mrefu.
 
Silaha walizotoa zimefanya vya kutosha, ile tu Kiev ilimshinda Mrusi akageuza hapo ilitosha, aendelee kuhangaika huko na tumji twa akina Marioupol, alishaingia aibu ya kutosha, amehema na kuishiwa pumzi.
MK254 wewe ni wachangiaji ngwiji sana na i always love how you debate with fact but since hii mgogoro ianze i always look your ID mara mbili nikihofia labda imehackiwa.kwako geopolitics aca. unguithagia muno(in ukraine and russian )
 
Unampa Sifa Uchwara huyo Hamna Kitu ni Zero tu ndugu Shida kajaa Ushabiki Yaani Mzungu Hasa Mmarekani kwake nikama Mungu
 
Watu wasichokijua ni kwamba aina ya magari ya vita na vifaru anavyotumia ukraine ni vile vile anavyotumia urusi maana wote wamerithi silaha za iliyokuwa USSR!! Kinachofanyika ni kwamba vifaru hivyo hovyo vya ukraine vikiunguzwa na urusi, jamaa wanapiga picha na kusema vifaru vya urusi vyateketezwa wakati mara nyingi ni vyao ukraine! Ingekuwa ni kweli kwa nini nchi yao inatekwa na kukaliwa?
kwa uwezo wa Urusi km hawakupoteza vifaru , kipi kimewashinda kuingia kyiv kwa mara ya pili ? ushabiki unawafany vichaa muda mwingine
 
Back
Top Bottom