Urusi yakamata shehena ya drones za Marekani, American Kamikaze drones switchblade: "Tutazitumia kuangamiza magarivita na vifaru vya Ukraine"

Urusi yakamata shehena ya drones za Marekani, American Kamikaze drones switchblade: "Tutazitumia kuangamiza magarivita na vifaru vya Ukraine"

Zelensky inaelekea hajui kinachoendelea! Marekani inadai kuto dola 40 bilioni na matokeo ya msaada huo na mingine iliyotangulia haijawahi kuonekana!! Inaelekea kuna kundi la wajanja huko marekani wanaiibia nchi yao wenyewe kwa kisingizio cha kupeleka silaha ukraine! Mwisho wa siku ukraine haipati kitu na pesa kubaki kwenye mikono ya wajanja.
Kwani hawasainishani na kukabidhiana msaada huo?
 
Silaha walizotoa zimefanya vya kutosha, ile tu Kiev ilimshinda Mrusi akageuza hapo ilitosha, aendelee kuhangaika huko na tumji twa akina Marioupol, alishaingia aibu ya kutosha, amehema na kuishiwa pumzi.
Kibera
 
Mnachekesha mjue, huyo Putin baada ya limsafara kuliwa kachomoa mzuka wake Kiev na kugeuza kufuata kamji ka huko mbali Marioupul, na mpaka sasa amefukuziwa kama mbwa, anaendelea kuachia maeneo....
Waambie

Kenge hawa wa pro Russia:
 
Pro Russia mna laana...

Inakuaje unafurahi kabisa nchi ilio huru kuvamiwa na watu kuuwawa!

Furaha yao inazidi kuwa karaha

main-qimg-659b4296d73b84f37694b4da5b171077
 
Watu wasichokijua ni kwamba aina ya magari ya vita na vifaru anavyotumia ukraine ni vile vile anavyotumia urusi maana wote wamerithi silaha za iliyokuwa USSR!! Kinachofanyika ni kwamba vifaru hivyo hovyo vya ukraine vikiunguzwa na urusi, jamaa wanapiga picha na kusema vifaru vya urusi vyateketezwa wakati mara nyingi ni vyao ukraine! Ingekuwa ni kweli kwa nini nchi yao inatekwa na kukaliwa?
Tango poli toka Buza
 
Swali zuri.
 
Back
Top Bottom