Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Tulia dawa iingie vizuri...
sio wewe tu mkuu.Habari za kukamatwa kwa vifaa vya vita vya USA Huwa zinanibariki sana.
Kwa akili yako unaamini mambo ni marahisi kihivyo?Habari za kukamatwa kwa vifaa vya vita vya USA Huwa zinanibariki sana.
Watu wasichokijua ni kwamba aina ya magari ya vita na vifaru anavyotumia ukraine ni vile vile anavyotumia urusi maana wote wamerithi silaha za iliyokuwa USSR!! Kinachofanyika ni kwamba vifaru hivyo hovyo vya ukraine vikiunguzwa na urusi, jamaa wanapiga picha na kusema vifaru vya urusi vyateketezwa wakati mara nyingi ni vyao ukraine! Ingekuwa ni kweli kwa nini nchi yao inatekwa na kukaliwa?Waambie wakusanye haya mauchafu wameacha kwenye nchi ya watu, limsafara lilipitia tabu sana.
View attachment 2240888
Watu wasichokijua ni kwamba aina ya magari ya vita na vifaru anavyotumia ukraine ni vile vile anavyotumia urusi maana wote wamerithi silaha za iliyokuwa USSR!! Kinachofanyika ni kwamba vifaru hivyo hovyo vya ukraine vikiunguzwa na urusi, jamaa wanapiga picha na kusema vifaru vya urusi vyateketezwa wakati mara nyingi ni vyao ukraine! Ingekuwa ni kweli kwa nini nchi yao inatekwa na kukaliwa?
Ndio Mkuu.Watu wasichokijua ni kwamba aina ya magari ya vita na vifaru anavyotumia ukraine ni vile vile anavyotumia urusi maana wote wamerithi silaha za iliyokuwa USSR!! Kinachofanyika ni kwamba vifaru hivyo hovyo vya ukraine vikiunguzwa na urusi, jamaa wanapiga picha na kusema vifaru vya urusi vyateketezwa wakati mara nyingi ni vyao ukraine! Ingekuwa ni kweli kwa nini nchi yao inatekwa na kukaliwa?
Usa watawapa Ukrine Drone Frequency Jammer so Azitofanya Kazi. Then zitakuwa UselessMajeshi ya Russia yamekamata shehena ya droni za Marekani (American Kamikaze drones switchblade) zilizopelekwa na Marekani kuisaidia Ukraine.
Russia imetoa picha za drones hizo, mzigo ukiwa mpyaa toka kwenye mabosi yake, na imesema ndugu watazamaji tutegemee kuona video motomoto hivi karibuni za namna drones hizo zitavyotumiwa na majeshi ya Russia kuangamiza vifaru na magarivita ya Ukraine pamoja na mifumo ya mizinga ya Ukraine ktk mji wa Limansky. Wanasema watatumia drones hizo hizo za Marekani kuwatwanga Ukraine kwenye mji huo.
Habari imeripotiwa na website ya Bulgarian military.
Omusolopogasi na Glenn (waMarekani wetu wa Nanjilinji) njooni hapa mteseke tena zaidi
View attachment 2240758View attachment 2240759