Urusi yakamata shehena ya drones za Marekani, American Kamikaze drones switchblade: "Tutazitumia kuangamiza magarivita na vifaru vya Ukraine"

Kwani hawasainishani na kukabidhiana msaada huo?
 
Comedian anaomba silaha anapewa toy
Hizo siyo toy baba hizo ni first generation weapons of USA [emoji631] ila tatizo mziki wa russia umekuwa mzito nsiyo maana zinaonekana ni toy
 
Silaha walizotoa zimefanya vya kutosha, ile tu Kiev ilimshinda Mrusi akageuza hapo ilitosha, aendelee kuhangaika huko na tumji twa akina Marioupol, alishaingia aibu ya kutosha, amehema na kuishiwa pumzi.
Kibera
 
Mnachekesha mjue, huyo Putin baada ya limsafara kuliwa kachomoa mzuka wake Kiev na kugeuza kufuata kamji ka huko mbali Marioupul, na mpaka sasa amefukuziwa kama mbwa, anaendelea kuachia maeneo....
Waambie

Kenge hawa wa pro Russia:
 
Tango poli toka Buza
 
Swali zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…