Urusi yalialia kuhusu Uswisi kujiunga NATO, waliyataka wenyewe, NATO inawapumulia

Wajaluo bwana...!
Kwamba Ukraine ikishachukua Crimea kutoka Urusi ndiyo vita itaisha hivyo watajiunga NATO ?

Vilianzia Crimea vitaishia Crimea.... ustadhi elewa hilo.
Putin hana jeuri tena ya kuzuia yeyote kujiunga NATO, hii sio Urusi tulioiogopa siku zote, yaani tangu waangukie pua pale Kyiv, hawana lolote tena.
 
Yeah nakiri nilichanganya, nilikua tofauti ya Uswidi na Uswisi, lakini kwa namna ulivyolipuka na ku-panic aisei ndio maana huwa mnajilipua mabomu kizembe, anyway hoja inabaki pale pale, mtume wenu Putin kaingia cha kike, hasira zenu hazibadilishi kitu, NATO inampumlia kote kote.
Unapoelimishwa shukuru tu inatosha!Hayo mengine pambana na hali yako maana uko nje ya uhalisia!
 
Hivi ukiona nchi zaidi ya 30+ wanaungana dhidi yako hii ina maana gani? je wewe dhaifu au wewe tishio kwao?
 
Unapoelimishwa shukuru tu inatosha!Hayo mengine pambana na hali yako maana uko nje ya uhalisia!

Unapohabarishwa shukuru tu bila kulia lia, kama kuna herufi imekosewa, usilie sana, wasilisha irekebishwe.....takbirr
 
Umekiri mwenyewe ulikuwa hujui na wala sio kukosea herufi!Typing error huwezi kukosea kuanzia heeding mpaka kwenye content!
Nimeshauri,leta habari kama ilivyo!Ukianza kuweka mbwembwe zako ndio hapo unaingia chaka!
 
Tofauti ni "d" na "s", hivyo wacha kulia lia, shukuru kwa kuhabarishwa, hasira za Putin zinakutesa ustadhi hehehehe
 
Urusi ilidai kuwa sababu kuu za kujaribu kuparamia Kyiv ilikua ili kuzuia Ukraine kujiunga NATO, kwamba hairuhusu majirani zake waingie NATO, sasa mpaka hapo Finland wamejiunga NATO, haya Uswisi nao ambao hawapo mbali na Urusi, wamejiunga NATO, sasa kwa kifupi NATO inampumlia Mrusi mabegani......na bado

The Kremlin said on Tuesday Sweden’s expected accession to NATO would have clear negative implications for Russia’s security and that Moscow would respond with similar measures to those it took after Finland joined the Western military alliance.

Spokesman Dmitry Peskov also played down Turkey’s decision to end its opposition to Sweden’s accession to NATO, saying that Ankara has obligations as a member of the alliance and that Moscow had had no illusions on this score.

Peskov said Russia and Turkey had their differences but also shared some common interests, adding that Moscow intended to develop further its relations with Ankara.

Umoja dhaifu bado wanajiona hawapo Salama linapokuja jina la Russia. Wataendelea kuzionea nchi dhaifu tuu kama Afghanistan
 
Hiyo ni typing error?Sema ulikuwa hujui tofauti ya Uswidi na Uswisi!Siku nyingine hutarudia makosa,thanx to me!
 
Vilianzia Crimea vitaishia Crimea.... ustadhi elewa hilo.
Putin hana jeuri tena ya kuzuia yeyote kujiunga NATO, hii sio Urusi tulioiogopa siku zote, yaani tangu waangukie pua pale Kyiv, hawana lolote tena.
Kinachokusumbua ni uelewa hafifu wa mambo na ushabiki wa kisiasa.

Mosi, kusema kwamba vita ilianzia Crimea ni sawa na kusema vita ya kwanza ya dunia ilianza mwaka 1914 kisa Archduke Ferdinand aliuwawa na mwanaharakati wa Bosnia Gavrilo Princip. Au sawa na kusema vita vya pili vya dunia vilianzia mwaka 1939 baada ya Poland kuvamiwa na Ujerumani. Kama mantiki yako ni kwamba vita vilianzia Crimea mwaka 2014 na vitaishia Crimea, basi mimi na wewe hatuwezi kuelewana hata siku moja.

Pili, kusema kwamba Urusi hana lolote nalo ni ujinga mwingine ambao waafrika wachache tu tunao. Kama taifa lenye Nuclear Triad halikuogopeshi basi lazima utakuwa na mtindio wa ubongo. Ukisikiliza kauli za watu ambao ni wakongwe kwenye mambo ya usalama na siasa za dunia kama Henry Kissinger, John Mearsheimer hata Mark Milley wanatadharisha kwamba hii vita inaweza kuleta madhara na kugeuka ya kinyuklia na kusababisha matatizo kwa Urusi, Ulaya na dunia nzima. Kiufupi taifa lolote lenye nyuklia hata iwe Korea Kaskazini ni la kuogopwa.

Kama uelewa wako ni kwamba vilianzia Crimea na vitaishia Crimea, I rest my case....​
 
Urusi ilidai kuwa sababu kuu za kujaribu kuparamia Kyiv ilikua ili kuzuia Ukraine kujiunga NATO, kwamba hairuhusu majirani zake waingie NATO, sasa mpaka hapo Finland wamejiunga NATO, haya Uswisi nao ambao hawapo mbali na Urusi, wamejiunga NATO, sasa kwa kifupi NATO inampumlia Mrusi mabegani......na bado

The Kremlin said on Tuesday Sweden’s expected accession to NATO would have clear negative implications for Russia’s security and that Moscow would respond with similar measures to those it took after Finland joined the Western military alliance.

Spokesman Dmitry Peskov also played down Turkey’s decision to end its opposition to Sweden’s accession to NATO, saying that Ankara has obligations as a member of the alliance and that Moscow had had no illusions on this score.

Peskov said Russia and Turkey had their differences but also shared some common interests, adding that Moscow intended to develop further its relations with Ankara.

Sweden haitwi Uswisi.

Uswisi ni Switzerland.
 
Mkuu kuna summit inafanyika Lithuania sio tena Sweden tu hata Ukraine sasa wako on board wajiunge NATO haraka sana iwezekanavyo, Zelensky hakubali anasema muda ni huu hawasubiri tena vita viishe ndio wajiunge watakataa kata kata.,

Hizi juhudi za kuunganisha nguvu majibu yake ni Putin asiwe na pa kukimbilia ni shaba tu kila upande., Walisema NATO itasambaratika lakini ndio kwanza NATO wanaongezeka sasa zitakuwa nchi 32., Na Ukraine nae anaenda zake NATO
 
Umoja dhaifu bado wanajiona hawapo Salama linapokuja jina la Russia. Wataendelea kuzionea nchi dhaifu tuu kama Afghanistan

Huo umoja ni mataifa ambayo hayahitaji kuungana ili kuigaragaraza Urusi, sema wanakubali muungano kulinda viinchi vidogo ambavyo Urusi ameonyesha historia ya kuvidhulumu.
Yaani Urusi hii hii imeaibishwa na kataifa jirani hapo....
 
Hiyo ni typing error?Sema ulikuwa hujui tofauti ya Uswidi na Uswisi!Siku nyingine hutarudia makosa,thanx to me!

A and D, wacha hasira...Putin ashaliwa...
 
Mkuu kuna summit inafanyika Lithuania sio tena Sweden tu hata Ukraine sasa wako on board wajiunge NATO haraka sana iwezekanavyo, Zelensky hakubali anasema muda ni huu hawasubiri tena vita viishe ndio wajiunge watakataa kata kata.,

Hizi juhudi za kuunganisha nguvu majibu yake ni Putin asiwe na pa kukimbilia ni shaba tu kila upande., Walisema NATO itasambaratika lakini ndio kwanza NATO wanaongezeka sasa zitakuwa nchi 32., Na Ukraine nae anaenda zake NATO

Japo kasoro ni kwenye sera za NATO kwamba hairuhusu uanachama kwa nchi ambayo ipo vitani tayari, maana kanuni yao ni kwamba ukipigana na mwanachama mmoja, itakubidi upigane na wote, sasa taifa likiwa vitani likijiunga ina maana NATO moja kwa moja wameingia vitani.
Kama NATO wanataka kuigaragaza Urusi, watafute namna kuifanya Urusi ishambulie kataifa kamoja mwanachama...
 
Mbona maustadhi hamkubali Putin ameingia cha kike...mlimtegemea sana ila ndio hivyo.
Kinachokusumbua ni uelewa hafifu wa mambo na ushabiki wa kisiasa.

Mosi, kusema kwamba vita ilianzia Crimea ni sawa na kusema vita ya kwanza ya dunia ilianza mwaka 1914 kisa Archduke Ferdinand aliuwawa na mwanaharakati wa Bosnia Gavrilo Princip. Au sawa na kusema vita vya pili vya dunia vilianzia mwaka 1939 baada ya Poland kuvamiwa na Ujerumani. Kama mantiki yako ni kwamba vita vilianzia Crimea mwaka 2014 na vitaishia Crimea, basi mimi na wewe hatuwezi kuelewana hata siku moja.

Pili, kusema kwamba Urusi hana lolote nalo ni ujinga mwingine ambao waafrika wachache tu tunao. Kama taifa lenye Nuclear Triad halikuogopeshi basi lazima utakuwa na mtindio wa ubongo. Ukisikiliza kauli za watu ambao ni wakongwe kwenye mambo ya usalama na siasa za dunia kama Henry Kissinger, John Mearsheimer hata Mark Milley wanatadharisha kwamba hii vita inaweza kuleta madhara na kugeuka ya kinyuklia na kusababisha matatizo kwa Urusi, Ulaya na dunia nzima. Kiufupi taifa lolote lenye nyuklia hata iwe Korea Kaskazini ni la kuogopwa.

Kama uelewa wako ni kwamba vilianzia Crimea na vitaishia Crimea, I rest my case....​
 
Urusi ilidai kuwa sababu kuu za kujaribu kuparamia Kyiv ilikua ili kuzuia Ukraine kujiunga NATO, kwamba hairuhusu majirani zake waingie NATO, sasa mpaka hapo Finland wamejiunga NATO, haya Uswisi nao ambao hawapo mbali na Urusi, wamejiunga NATO, sasa kwa kifupi NATO inampumlia Mrusi mabegani......na bado

The Kremlin said on Tuesday Sweden’s expected accession to NATO would have clear negative implications for Russia’s security and that Moscow would respond with similar measures to those it took after Finland joined the Western military alliance.

Spokesman Dmitry Peskov also played down Turkey’s decision to end its opposition to Sweden’s accession to NATO, saying that Ankara has obligations as a member of the alliance and that Moscow had had no illusions on this score.

Peskov said Russia and Turkey had their differences but also shared some common interests, adding that Moscow intended to develop further its relations with Ankara.

Mpaka sasa tunaweza tukasema Russia ni mtoto wa geti kali.
 
Kinachokusumbua ni uelewa hafifu wa mambo na ushabiki wa kisiasa.

Mosi, kusema kwamba vita ilianzia Crimea ni sawa na kusema vita ya kwanza ya dunia ilianza mwaka 1914 kisa Archduke Ferdinand aliuwawa na mwanaharakati wa Bosnia Gavrilo Princip. Au sawa na kusema vita vya pili vya dunia vilianzia mwaka 1939 baada ya Poland kuvamiwa na Ujerumani. Kama mantiki yako ni kwamba vita vilianzia Crimea mwaka 2014 na vitaishia Crimea, basi mimi na wewe hatuwezi kuelewana hata siku moja.

Pili, kusema kwamba Urusi hana lolote nalo ni ujinga mwingine ambao waafrika wachache tu tunao. Kama taifa lenye Nuclear Triad halikuogopeshi basi lazima utakuwa na mtindio wa ubongo. Ukisikiliza kauli za watu ambao ni wakongwe kwenye mambo ya usalama na siasa za dunia kama Henry Kissinger, John Mearsheimer hata Mark Milley wanatadharisha kwamba hii vita inaweza kuleta madhara na kugeuka ya kinyuklia na kusababisha matatizo kwa Urusi, Ulaya na dunia nzima. Kiufupi taifa lolote lenye nyuklia hata iwe Korea Kaskazini ni la kuogopwa.

Kama uelewa wako ni kwamba vilianzia Crimea na vitaishia Crimea, I rest my case....​

Wewe umeshikiliwa akili na ndio tatizo lenu kubwa kwa sasa, hakuna anayetumia ubongo wake kisa mumeaminishwa adui wenu ni "Marekani", wazee wa "death to America". Eti mnadhani kushabikia udhalimu wa Urusi ndio mumeshatimiza chuki zenu.

Mrusi alichosalia nacho kwa sasa ni hayo manyuklia ambayo akithubutu kuyatumia atafutika kwenye uso wa dunia, ametumia mizinga ya kila aina na ikapanguliwa yote tena na kataifa kadogo hapo jirani yake.....muwe mnapata aibu aisei

A324BBEF-12E5-409E-A0CB-7355E922EA2A_w1080_h608_s.png
 
Back
Top Bottom