Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetoa elimu na umejifunza,hilo linatosha!A and D, wacha hasira...Putin ashaliwa...
Wewe umeshikiliwa akili na ndio tatizo lenu kubwa kwa sasa, hakuna anayetumia ubongo wake kisa mumeaminishwa adui wenu ni "Marekani", wazee wa "death to America". Eti mnadhani kushabikia udhalimu wa Urusi ndio mumeshatimiza chuki zenu.
Mrusi alichosalia nacho kwa sasa ni hayo manyuklia ambayo akithubutu kuyatumia atafutika kwenye uso wa dunia, ametumia mizinga ya kila aina na ikapanguliwa yote tena na kataifa kadogo hapo jirani yake.....muwe mnapata aibu aisei
![]()
Superpower candidate naona alishaamua kuachana na candidacy yake.Urusi imeshindwa kuparamia haka kainchi hadi imeachwa hoi
![]()
Kwamba vita tayari vimemalizika au?.... mbona sasa kama unaonyesha kwamba Putin ameshashindwa vita ilhali bado pambano bado lingalipo?Vilianzia Crimea vitaishia Crimea.... ustadhi elewa hilo.
Putin hana jeuri tena ya kuzuia yeyote kujiunga NATO, hii sio Urusi tulioiogopa siku zote, yaani tangu waangukie pua pale Kyiv, hawana lolote tena.
Endelea kukariri tofauti ya D na S ili siku nyingine usipuyange!Taratibu hasira zitakupungua sheikh, D na S, Putin aliwaingiza pabaya.
Putin vita yake ilikua ni ya siku tatu. Kama siku tatu zimepita na vita bado inaendelea, basi hapo ujue jibu lake ndiyo kama unavyouliza.Kwamba vita tayari vimemalizika au?.... mbona sasa kama unaonyesha kwamba Putin ameshashindwa vita ilhali bado pambano bado lingalipo?
Kuwa na nidhamu na heshima kwa makabila ya watu ok, hivi wewe ni Mtanzania wa wapi? ningekuwa Mama Samia ningewauza watu kama wewe kwenda utumwani DP WORLD shame upon you!!Wajaluo bwana...!
Kwamba Ukraine ikishachukua Crimea kutoka Urusi ndiyo vita itaisha hivyo watajiunga NATO ?
Wewe pia ni mjaluo ?Kuwa na nidhamu na heshima kwa makabila ya watu ok, hivi wewe ni Mtanzania wa wapi? ningekuwa Mama Samia ningewauza watu kama wewe kwenda utumwani DP WORLD shame upon you!!
Unachati na MK254 sio wajaluo jifunze ustarabu braza, kama unaumia Urusi Urusi huko si uende huko Urusi? Sijui shule ulisomea ujinga dah!