Urusi yalialia kuhusu Uswisi kujiunga NATO, waliyataka wenyewe, NATO inawapumulia

Vilianzia Crimea vitaishia Crimea.... ustadhi elewa hilo.
Putin hana jeuri tena ya kuzuia yeyote kujiunga NATO, hii sio Urusi tulioiogopa siku zote, yaani tangu waangukie pua pale Kyiv, hawana lolote tena.
Kwamba vita tayari vimemalizika au?.... mbona sasa kama unaonyesha kwamba Putin ameshashindwa vita ilhali bado pambano bado lingalipo?
 
Kwamba vita tayari vimemalizika au?.... mbona sasa kama unaonyesha kwamba Putin ameshashindwa vita ilhali bado pambano bado lingalipo?

Hehehe! Nimependa mlivyo ving'ang'anizi licha ya aibu yote hii....
 
Endelea kukariri tofauti ya D na S ili siku nyingine usipuyange!

Mpaka hasira zikupungue, pole sikukutuma uache mtume wako ukamuabudu Putin, D na S
 
Kwamba vita tayari vimemalizika au?.... mbona sasa kama unaonyesha kwamba Putin ameshashindwa vita ilhali bado pambano bado lingalipo?
Putin vita yake ilikua ni ya siku tatu. Kama siku tatu zimepita na vita bado inaendelea, basi hapo ujue jibu lake ndiyo kama unavyouliza.
 
Wajaluo bwana...!
Kwamba Ukraine ikishachukua Crimea kutoka Urusi ndiyo vita itaisha hivyo watajiunga NATO ?
Kuwa na nidhamu na heshima kwa makabila ya watu ok, hivi wewe ni Mtanzania wa wapi? ningekuwa Mama Samia ningewauza watu kama wewe kwenda utumwani DP WORLD shame upon you!!

Unachati na MK254 sio wajaluo jifunze ustarabu braza, kama unaumia Urusi Urusi huko si uende huko Urusi? Sijui shule ulisomea ujinga dah!
 
CIA has got Erdoğan's manilla folders
 
Wewe pia ni mjaluo ?
Basi sishangai hata kidogo!
 
Mkuu mada zako za Urusi. Hii ni ya 102[emoji3][emoji3]. Putin ni moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…