Urusi yaomba magharibi ibembeleze Ukraine isitumie mabomu hatari


Umeelewa au unataka mashindano?

Unajua maana ya “False flag attack” ?…

Mrussi kali a au kaonya kuwa Ukrainia anataka kujipiga bomu ili kuishutumu Russia .

Someni habari muelewe kwanza, siyo kujaza maneno yenu.

Hata Ukrainia amekanusha, anasema hiyo ni mbinu ya Mrussi kuzuga ili au pige Nuke Ukrainia Halafu aseme Ukrainia kujipiga mwenyewe
 

Eti Russia anabembeleza na kulialia.
 
Wewe ndo chizi, urusi bado ajatumia mabom hatari, anatahadharisha tu huyo jamaa akianza ajue kwisha Habari akianza kujibu
akil zako zimeishia hapo ? Urus anataka nini humo Ukraine?
 
Yaani urusi inaikomalia hii point ya nuclear bomb, na wanafanya hivi ili kuwatisha Ukraine ambao wameshajua mbinu za Putin za scare tactics hii ni ishara ya kushindwa vita kwa Russia
 
Kaka taarifa za intelligentsia hazinaga evidence. Lakini hata kama Ukraine walipanga least nao wanajifikiria upya, I mean Russia wamesema wazi ili kuzuia Ukrain na plan yake. Kwan UN anaenda pia kukagua
nan aliwai kutishia kutumia nyuklia?
 
Yaani urusi inaikomalia hii point ya nuclear bomb, na wanafanya hivi ili kuwatisha Ukraine ambao wameshajua mbinu za Putin za scare tactics hii ni ishara ya kushindwa vita kwa russ
Alidanganya dunia ana wanajeshi almost million 1, ghafla vita vya miezi nane ameanza kulazimisha watu waende jeshin kama ulikua unnawanajeshi million 1 kwanin unalazimisha watu waende vitani hiki ni kituko kingine njia ya muongo ni fupi
 
Unazi umemjaa…!!

Hajui katika kitu Putin anatamani ni Ukraine atume kombora la nuclear Moscow. Apate sababu ya kumfutilia mbali bila lawama za dunia
Duh hv hii vita ina umuhim gan kwa Urus mpk awe tyr kuitoa sadaka Moscow ?
 
nan aliwai kutishia kutumia nyuklia?
Ukraine hajawahi kutishia matumizi ya nyuklia wao wanataka eneo la nchi Yao lirudishwe, hizi chokochoko za bomu la nyuklia ni urusi anazitoa tokea vita vimeanza mpaka leo
 
Walihamishwa ili kupunguza vifo vya watu Kwa Sababu waukraine wanashambulia mji kwa makombora.Ila mji upo Chini ya warusi milele.alafu waukraine hawapo kherson.huo ni mji wa warusi milele watu watarudi mambo yakishatulia.
akili zako bana , ulitaka washambulie kwa mishale ? mbona wenzao walivumilia uchafu wao wa kulenga bembea za watoto
 
we ni mpuuz ,.unamuunga mkono mtu alienza uchokoz dhidi ya jiran , ni yeye aliimega Crimea , ni yeye alifadhili uasi ndan ya ukraine , ni yeye aliamua kuivamia nchi iliyo huru kiutawala , Leo anashauri awashauri wapumbav wenzie , ANGEKUWA TIMAMU ANGEDAI REFERENDUM BADALA TA KUVAMIA NA KUUA RAIA WEMA., huku akiwashika masikio wapumbav wenzie et anaua huko Ukraine kisa Marekan pia aliua huko Syria , Iraq , Afghanstan ( hili jibu nimeliona ofisa mmoja wa Urusi alijibu alipokuwa kwenye debate na ofisa wa Marekani ) yaan ni mpuuz anaeza toa jibu km hili
 
Vlad anatengeneza kajimpango hapa ili aseme alishasema Ukraine ndio wameplan mbinu chafu.
mm ningekuwa Zele ningetuma drones 100 kweny majiji makubwa 5 ya Urusi , 20 kila jiji kubwa la Urusi , then nashusha mvua ya mabomu kuanzia mida ya saa 7 usk , ili warusi waone utamu wa vita
 
nan amewai kutishia nyuklia ? Urusi imekuwa ikijilipua ili iisingizie Ukraine , nakumbuka ile kisima cha mafuta , Ukraine walikana
 
Ukraine hajawahi kutishia matumizi ya nyuklia wao wanataka eneo la nchi Yao lirudishwe, hizi chokochoko za bomu la nyuklia ni urusi anazitoa tokea vita vimeanza mpaka leo
bado hujajibu swali mkuu , kati yao wawili nan aliwai kutishia kutumia nyuklia ? alietishia ndo huyo atatumia nyuklia
 
Marekani anasema huo ni uongo wa Urusi ili ahalalishe kuipiga Ukraine ña Nyuklia !!
 
Mtu mwenye upungufu wa akili hukimbilia kwenye matusi badala ya kujibu kwa staha.
 
Umekurupuka kujibu, haujatulia usome nilichoandika, hata hivyo Urusi aache kulialia aondoke kwenye nchi ya watu.
Hujui ulichoandika kwa sababu hukuelewa kilichoandikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…