Urusi yaonekana kulegeza masharti yake, yasema almradi Ukraine watoe ahadi hawatajiunga NATO

Point mkuu , upewe maua YAKO mkuu. Sasa usipouza vitu vyako USA na EU utakuja kuiuzia Mali au Niger Niger, Ndio maana China anaogopa kuivamia Taiwan , maana anajua uchumi wake unategemea USA
 

Urusi ikipewa fursa na kuachiwa ijipange upya itakua hatari zaidi ya mwanzo, watakua wamejifunza kutokana na hili kosa walilolifanya na kurekebisha, uvamizi wake hata baada ya miaka 20 utakua wa hatari, kwa sasa mataifa yote yaliyo jirani na Urusi nafuu yao ni NATO.
 
Sasa Armenia alikuwa anapata support ya russia naona sasa mtoa support mwenyewe hoi kaona basi awe mpole tu.
 
Kama anarudisha maeneo Urusi aheshimiwe hitaji lake. Wale ni ndugu na majirani wasikilizane sababu raia wao wanataka amani na raha hata wanaume wavizie binti wa kirusi na vice versa.
Akikubali kuachia maeneo ikiwemo Crimea itapendeza.., lakini vinginevyo naona aendelee kuchakazwa tu!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Putin mpaka sasa ameshakiona cha mtema kuni na bado atapata tabu Sana.
 
Hiyo ni vita kufa ni kitu Cha kawaida kwa askari ila inasikitisha kufa kwa ajili ya kumtetea mpuuzi mmoja anayejifanya ana nguvu ili Hali ni Mwepesi tu, kama hujawahi ona askari wa Urusi wakifa kama kuku nenda jukwa la picha Kuna Uzi wa Figaniga upitie japo kwa sekunde 10 tu
 
Wewe hujitambui huna akili kuwazidi warusi
 
Sema hivi watoe ahadi ya kutokujiunga NATO na majimbo yaliyomegwa ndio basi tena warusi wayachukue tu
 
Juzi makamanda wao kichopa wamekula shaba sasaiv urusi anapigana kwa hasara sana na hajui ngoma itaisha lini ndio kwanza Kyiv watapokea Advanced long range ili huko walikojificha zaidi nako warambe mchanga
 


Unapoteza mda mwingi sana kwenye mambo ya kijinga.
 
Wabeba javellin walotekefeza vifaru vingapi vya Urusi - tuliona kilicho kuwa kinaendelea kwenye luninga - Waukraine waliteketeza vifaru vichache vya Urusi ndio maana msafara ulikuwa unaendelea bila wasi wasi, mtu ulikuwa unaona ni kufaru kimaja kimoja kinacho lipuliwa na si vingi kivile - acheni kuwadanganya watu, by the way video clips nyingine zilizokuwa zinaonyeshwa na jeshi la Ukraine yalikuwa wanazicopy kutoka kwenye archive ya vita ya 2014/15 wakati Urusi ilipo vilipuwa vifaru vingi na magari ya deraya ya jeshi la Ukraine - lakini kwenye propaganda wanageuza kibao na kujifanya wao ndio walitekeleza mashambilizo hayo.

Jeshi la Ukraine ni walaghai sana na waongo ndio maana wanaendelea kuzuga kuhusu their 2nd impending massive counter offensive dhidi ya Urusi baada ya kwanza kishindwa vibaya sana na kizitia aibu mataifa ya magharibi specifically the USA - lakini inaelekea Biden bado yupo overly determined kuishinda Urusi kwa kupitia vita ya Ukraine hata akiitumbukiza Dunia kwenye WW3 yeye hilo hajali - He still thinks he and his family and close friends can easily survive thermonuclear exchange and live to tell the tale the morning after. Personally don't see his term in office ending without WW3, this man is very dangerous for World peace, as I said is not bothered by waging WW3 as long as his rabid hatred of Putin and everything Russians are fulfilled.
 
Ukisikia USA, amemchoka hapo ndipo mwisho, lakini anasema mimi nipo na wewe tu hadi mwisho, hapo Putin lazima apate taabu sana!!! Tuwe wakweli tu RUSSIA, hii vita imemdharirisha sana, ni vile hana jinsi tu lakini, kumbe hakuna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…