Nimekupata vemaWewe unafikiri mwenye nguvu akitoa ahadi inamfunga kama akiamua kutekeleza lake?- Urusi si imewahi kusaini mkataba na Ukraine ili Ukraine igive up stockpile yake ya silaha za nuclear in exchange Urusi itatambua mipaka ya Ukraine including crimea?. Miaka 25 baadae Urusi si ikavamia na kumega crimea?